Ulianzaje na ukafanikiwa kujizuia, kupunguza na hatimae kuacha kabisa uzinifu na uchepukaji?

Ulianzaje na ukafanikiwa kujizuia, kupunguza na hatimae kuacha kabisa uzinifu na uchepukaji?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na kuheshimika mbele ya jamii?🐒

Maana madhara ya uchafu huo ni bayana, yameathiri pakubwa jamii nzima ya sasa, na vijana wa rika mbalimbali wana aibika kutafuta suluhu matatizo ya nguvu za kijinsia ambayo wameyasababisha wenyewe na yanawatesa sana kwenye ndoa na mahusiano yao 🐒

Hii ikimaanisha sehemu kubwa ya jamii imeshiriki japo kwa kificho katika kuharibu mfumo wa afya ya uzazi kwa punyeto, usagaji, uasherati, uzinzi na ulawiti kupindukia 🐒

Je, ndugu yetu,
uliwezaje kuondokana na changamoto hii ya fedheha nzito sana? Hebu shirikisha mbinu familia ya JF nayo iweze kujikwamua kwenye mkwamo huu wa aibu 🐒
 
Binadamu ukishindwa kujicontrol hisia na matamanio yako huna tofauti na kuku.
kuna jamaa alisema ati akiona ile midoli mikubwa ya kuuzia nguo madukani ambayo bado haijavalishwa nguo akingalia chuchu halafu na pale chini kati ati, anapata tabu sana,🤣
 
Lucas mwanshambwa avavopita kimya kimya kama sio yeye
JamiiForums787057167.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dah me uchepukaji nliacha baada ya kuanza kuwa serious na Mungu. Na kuanza kumuombea mke wangu na kuwa naliombea tendo la ndoa mara kwa mara. Lile ni jambi kubwa lunalouisha ndoa

So saiz naenjoy na mke kuliko nlivyokuwa naenjoy na michepuko.Tuishie hapo
 
Back
Top Bottom