Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Kumekuwa na Kesi za wanafunzi kupewa mimba au kufanya mapenzi kabla ya umri wao yaani chini ya miaka 18, swali kama watoto wetu hawa wanajua fika kufanya mapenzi chini ya miaka 18 ni kitendo cha ubakaji, je, wakati anafanya hilo tendo la ndoa hakujua kama ni tendo la watu wazima kufurahia maisha? Tunajua chini ya miaka 18 kama hasomi anaweza kuolewa kwa taratibu maalum.
Tuangalie jinsi ya kuibadili hii sheria, Majuzi Mwigizaji Elizabeth Michael (LULU) amehukumiwa kwenda jela miaka 2 lakini wakati anafanya tukio la kumuua Muigizaji mwenzake KANUMBA alikuwa chini ya miaka 18. Mahakama ilituambia kuwa wakati anaua hakujua kuwa kuua ni tendo baya?
Sheria zina upendeleo na Je, wanasheria mnatusaidia vipi kuboresha sheria zetu?
Ndimi: DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
22 Desemba 2017