Ulichagua kozi ambayo si kipaumbele, kwanini ulalamike kukosa mkopo?

jamani mm nimeomba education tena mara 2, lkn loan nill, jamani c tunakufa huku tunatoa macho
 
sasa kama hiyo serikali ilikuwa haina pesa kwann waliongeza muda wa wanafunzi kuomba mkopo, bora wangetupa cc tuliowahi kutuma maombi, ni sheeeeedah....!
 
kwa kweli mm nina hasira mkuu, 4m 4 nilipata one, 4m 6 pia one, tena gvt school, orphanage, female gender, bt yaliyonikuta sitamani kuwashauri wadogo zangu kusoma kwa bidii, coz ni maumivu tuuu!
 
Siku zote mwenye kiatu,anaweza sahau kuna ambaye hana kiatu,we live with dream and ambition,kwanini kuwe na priority and non priority huo ni ubaguzi la sivyo bodi iundwe kwa vitengo viwili kila kimoja kiwe kinapewa fund na govt. upungufu wa madaktari,walimu,wakandarasi n.k isiwe kigezo cha wahasibu,wagavi,hr nk kukosa mkopo,kwani hao wataalam ipo siku nao watapungua,kanuni za bodi kuhusu mkopo zifanyiwe riview kama haiwezekani serikali iunde bodi nyingine ya mkopo ili kuwe na competition coz bodi ni business(service)organization, we don't need monopolism,and red tapes!
 
 
 
Huenda pesa zote za mikopo zilipelekwa bunge maalum la katiba maana ndo highest priority
 
Transport and logistics management ni priority na watu weng wamekosa mkopo.... Bunge la katiba na uchaguz umeekewa hakiba kabsa
 
hapana mkuu ni mambo tu yanabadilika,kama mwaka jana hata sisi tuliochagua non priority courses tulipewa mkopo tena wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…