Tetesi: ulicho shindwa wewe mwenzako hanaweza naombeni msaada kuhusu hili

Tetesi: ulicho shindwa wewe mwenzako hanaweza naombeni msaada kuhusu hili

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,707
Reaction score
6,437
naomba msamaha kwa hili ila jamani kuna simu yangu VODAFONE 685 hina kataa ku install app ya Instagramu na tatizo sio SPACE uki download hinaingia hadi 100% tatizo ku Install
Naombeni msaada wanajamvii
#ahsante
 
nenda kwenye seting, application manager ,tafuta playstore na u
clear data na cache
halafu jaribu tena
 
Andika vizuri kwanza jamani,una haraka gani kiasi cha kuvuruga Kiswahili chetu????
 
Baada ya kugoma kuinstall haitoi ujembe wowote ? tunge pata iyo error message ingekuwa easy kukusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
brother iyo sms hipo hivi..
"instagram " can't be installed.Try again and if problem continues, get help troubleshooting (Error code:910)

ndo ivyo tu brother Nisaidie
 
brother iyo sms hipo hivi..
"instagram " can't be installed.Try again and if problem continues, get help troubleshooting (Error code:910)

ndo ivyo tu brother Nisaidie
Go to storage setting and set default storage setting to “Phone memory” or “Let the device decide”.

(Error 910 happens due to sd card set as a default storage.)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom