KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Wacha niwape somo dogo kwa leo.
Kwa mtu unaempenda na kwa mapenzi unayoyapenda. Vipaji vyako,elimu yako,kazi yako,pesa zako,ujuzi wako n.k hivi vyote vinatakiwa kuwa mchango katika mapenzi yako aiti ukiona mtu anatumia vipaji vyake kwaajili ya kukutesea ama kukulingia kaa ukijua huyo ni limbukeni na hakufai.
Mapenzi ni njia moja yenye utulivu ambao wawili mnatakiwa muende kwa furaha na amani hata miili yenu itanona na mtaona raha ya mapenzi yenu na dunia mtaifurahia. Ni somo dogo lakini effect yake wachache wanaielewa najua na wengine washapigwa na vitu vizito kichwani kupitia hapa!.
Usitumie ulivyonavyo kumtesa mpenzi wako.
Take care.