Ulichonacho kinatakiwa kiwe mchango kwenye mapenzi yenu

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Wacha niwape somo dogo kwa leo.

Kwa mtu unaempenda na kwa mapenzi unayoyapenda. Vipaji vyako,elimu yako,kazi yako,pesa zako,ujuzi wako n.k hivi vyote vinatakiwa kuwa mchango katika mapenzi yako aiti ukiona mtu anatumia vipaji vyake kwaajili ya kukutesea ama kukulingia kaa ukijua huyo ni limbukeni na hakufai.

Mapenzi ni njia moja yenye utulivu ambao wawili mnatakiwa muende kwa furaha na amani hata miili yenu itanona na mtaona raha ya mapenzi yenu na dunia mtaifurahia. Ni somo dogo lakini effect yake wachache wanaielewa najua na wengine washapigwa na vitu vizito kichwani kupitia hapa!.

Usitumie ulivyonavyo kumtesa mpenzi wako.

Take care.
 
Mkuu kwa mabinti ambao wanatumia mbususu km ajira wanachangia nini kwenye mahusiano zaidi ya kuwa vuna vijana wakiume.
 
Mkuu kwa mabinti ambao wanatumia mbususu km ajira wanachangia nini kwenye mahusiano zaidi ya kuwa vuna vijana wakiume.
Kwahiyo mkuu mpaka tukuambie utoke hapo au..?😂
 
Kwahiyo mkuu mpaka tukuambie utoke hapo au..?😂
Mimi sipo hapo nilisha tokaga huko kitambo saana. Mpare mie ntonga na bajeti🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naongea kwa ajili ya vijana wenzangu wa kiume wanaovunwa kila siku wenyewe wanajua wanapanda kumbe wanavunwa
Kwahiyo mkuu mpaka tukuambie utoke hapo au..?😂
 
Naongea kwa ajili ya vijana wenzangu wa kiume wanaovunwa kila siku wenyewe wanajua wanapanda kumbe wanavunwa
Hatumwambiagi mtu kwenye moto atoke Bali ukimuunguza atatoka mwenyewe..
 
Kituuuuu!!!

Sawa nitafanya ivyo.
 
Mkuu unahamsisha mapenzi yawe Kama business contract
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…