Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako
Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio wakaaji wa nyumbani ile unatoka hom leo kurudi pengine wiki kazaa mbele
Basi bwana baada ya wiki kazaa kutoweka hom siku ya kurudi hom ikafika ila nikamcheki wife leo naweza rudi ila sina uhakika sana maana mambo ya barabarani ni mengi hasa kwa sisi madereva wa masafa (truck) akasema sawa wanikuta
Baada ya masaa kama nane nikajongea hom ila ulikuwa usiku sana nikakuta wife Kalala ile fofofo
Nikamstua mfanyakazi akanifungulia
Nimeingia chumbani mlango haujafungwa nimekaa kidogo umeme umekatika ila pembeni naiona simu ya wife nikasema nichukue niwashe taa yake maana simu yangu ili kata chaji
Dah sijui shetani gani aliniingia nikajikuta nimeenda kwenye text nikakuta sms ambayo haijasomwa
"Asante mpenzi kwa penzi lako la leo umenifanya nienjoy"
Asee moyo ukadunda paah nikajikaza kiume nikajifanya nachati nae kama wife kwa ile namba tumechatii hapo wife Kalala kinoma
Basi nikasema hadi hapo wife kaliwa hakuna jinsi nikajifoadia zile text na kutoka usiku huo huo
Nikaenda bar nikala bia kubust akili maana nikila ulabu hua mtulivu sana
Basi zilivyopanda nikaanza kujiuliza hivi hata ukilipa kisasi ulikokwenda umekula wangapi[emoji39][emoji39]
Na
Alikuhoji nani ? NikajikutA nimepoa taratibu nikanunua barmed zangu wawili nikakodi room mbili basi nikawa na wala kizam kupoteza hisia fulani hivi asubuhi nikamtumia zile text wife
Akajifanya anajutia ya kuwa genye zilimzidi hakuwa na jinsi nikamwambia usijali mama kawaida kikubwa kitu yangu imebaki jamaa hajaibeba frexh wiki kaza tukapima mwanaume nikarudi tena masafa
Ndio hivyo wakuu hebu tupe yako ulichukua uamuzi gani?
View attachment 2017977