Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

Watu mna roho ngumu sana.Mnapaswa mzikwe na tu-jeneza tudogo kama la Askofu Mkuu Desmond Tutu.
 
Goooooddddd
 
Sijui ukurasa wa huyo ulie nae sasa ukiisha niombe nafasi[emoji1787]
 
Mimi nilifanya call na sms tapping maumivu yake hadi Leo sijawahi pona, Manz hadi anasafiri ananizuga anaenda semina kumbe anaenda kugegedwa na najua kabisa maana texts na maongezi yao ninayo....akarudi akaendelea kuliwa siku nilimuita nikamwambia najua kila kitu alivyo wa ajabu yule shetani akanihamishia lawama mm eti mm ndo sababu kiukweli nilimuacha alilia sana hadi Leo ananiombaga radhi.....ila sijawahi pona yale maumivu😭😭😭😭
 
Mkuu, ulifanyaje hio kitu nipite humo?
 
Pole mkuu! Alikua mke au demu tu?
 
Pole sana
Mkuu, ulifanyaje hio kitu nipite humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…