Ulie tayari kuwa mume na baba kama Mungu akijaalia

Ulie tayari kuwa mume na baba kama Mungu akijaalia

mamiii

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
12
Reaction score
15
Habari za jioni wandugu

Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha

Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi

Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume

Sifa zake:Awe mkristo, umri awe kwenye 30s na mwenye shughuli iliyo halali

Karibu!!!
 
Wanawake weng wanaotafuta waume JF ni wageni mfano uyu account kafungua leo sijui uwa wanamaanisha au uwa wanazingua
 
Dah!

Screenshot_20170602-174437.png
 
Habari za jioni wandugu

Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha

Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi

Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume

Sifa zake:Awe mkristo, umri awe kwenye 30s na mwenye shughuli iliyo halali

Karibu!!!
Mi nna miaka 41, na ni dereva wa mabasi ya mwendo kasi. Kama vipi niPM tujajenge mama,

Naambatanisha picha yangu
upload_2017-6-2_17-59-53.jpeg
 
Pole sana. Unataka mkristo etieeeh, alafu awenakazi halali. Mm ni admin group kama 3 za whatsapp, age 31
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom