Mi nna miaka 41, na ni dereva wa mabasi ya mwendo kasi. Kama vipi niPM tujajenge mama,Habari za jioni wandugu
Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha
Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi
Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume
Sifa zake:Awe mkristo, umri awe kwenye 30s na mwenye shughuli iliyo halali
Karibu!!!
wewe si uende pmWanawake weng wanaotafuta waume JF ni wageni mfano uyu account kafungua leo sijui uwa wanamaanisha au uwa wanazingua
mpm weweNi PM tujadili,serious
Yeye ndo ani PM,miss jamn nakunywa soda kuandika uvivumpm wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana. Unataka mkristo etieeeh, alafu awenakazi halali. Mm ni admin group kama 3 za whatsapp, age 31
[emoji2] [emoji2]Pole sana. Unataka mkristo etieeeh, alafu awenakazi halali. Mm ni admin group kama 3 za whatsapp, age 31