Ulifanyaje ulipoachika?

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.

Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote 🤔 She was like... Umm babe naomba shilingi laki Moja😱😱 meseji ikaishia hapo.

Nami sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hizi😬😬
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.

Nami nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu😬 sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba. Nipo nipo tu kichwa kime hang😇😇😇

Kumbe kuachwa ndo inakua hivi😱😱 Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis 😂 ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena.

Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania

Eti To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahili🤔
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu
 
Leo nimesoma kuna uzi wa jamaa unasema kakosea kufa kiwandani, mshahara aliopata baada ya kuumia na masaa kumi kuwepo kazini kapata elfu 2. Hapa Santos06 katoa 100k anaonekana bahili🤣🤣. Mimi nimewacha kuhonga miaka 5 sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…