Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mkuu,
Bado mkuu nakitafuta, sasaivi napata hela ya kula na wanangu si haba.
Naona huo ndio mchezo kamili WA maisha.Mkuu,
Mimi mpaka leo najitafuta bado sijajipata.
Kila nikikamilisha kimoja nilichotaka nagundua kingine.
Pia ungetaka kujua maana ya kupatikana au kupatwa. Kuna waliojipata wakapatwa piaMaana ya kujipata please
Nishawahi kuuliza sijapata jibu.Maana ya kujipata please
Wakikujibu nitagMaana ya kujipata please