Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mimi kama nasmile.nilijiunga 2011
Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani
www.jamiiforums.com
Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani
Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?
Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?