πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wanguuu[emoji119][emoji119]
Umenikumbusha mbaliii...
Enzi hizo bwana nilikua sijui grade 2.
Hapo ilikua moshi.
Sasa ile baridi bwana nilikua nakojoa balaaa.
Nakumbuka dada wa kazi alikua Isabela. Mzuri balaaa. Na mwingine rozalia. Mzuri huyoo pia. Ila jaman rozalia aliku mkali jaman huyu mdada na vile mama alikuaga anasafiri mara nyingi tunabaki na wadada wa kazi[emoji23][emoji23][emoji119]
Miaka hiyo wazazi wetu walikua wanafanya viashara zote hasa vinuwaji kutoka kenya. Basi sisi kunywa soda ilikua bururu.
Enzi hizo kama mnakumbuka kulikuaga na zile panties za zebra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Nzuri zilikuaga za cotton. Basi nilikua naletewaga na mama sana.
Kasheshe kwenye suala la kujikojolea.
Hicho kichapo cha dada rozalia ni Yesu aingilie kati. Hapo bado mauji uji tunayopeea ya kulazimishwa[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mkojo achenii na ile baridi.
Halafu sasa kabla nipee kitandani naota kabisa nakojoa. Yaani nakua najisikia raha as narelease kitu. Navyoshtuka ndo najua nilichofanya.
Nifanyeje sasa?[emoji23][emoji23] siwezi msingizia mdogo wangu. Naogopa dhambi. Japo yeye akikojoaga alikua ananisogeza mpaka sehemu yake kwahiyo balaa linaniangukia mini[emoji1787][emoji1787]
Na wala simsemei.
Nabondwa sana na dada rozalia.
Sasa nikaanza mchezo. Panties nnazo kibai za zebra zile. Nikipee naamka zangu kimyakimy usiku wa manane, nabadilisha panty[emoji1787] nakua mkavuuu.
Asubuhi nikikaguliwa miye waalaaa.
Mdogo wangu nae alajifunza kubadilisha kaptula. Sasa tunapiga kojo na kubadili asubuhi tukikaguliwa na kunuswa walaaa. Tukaanza katabia tujikojoa tunaanka mapemaaa rozalia anatukuta tunafua zetu mikojo hadi akawa hatubondi tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Namiss utotoooo.
Mungu akutunze dada Rozalia. Iko siku nitakutafuta panapo majaaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kuweka manguo ilikuwa inasaidia sana. Unaweka nguo, then unalalia ili unyevu uhamie kwenye nguo.πππ
yani utoto huu wa kujikojolea ukikumbuka lazima utoe ujicheke,
mimi nilikua nina adi mambinu yakiyunani najikojolea nikistuka ntafanya manuva kupakausha hapo, ntaweka manguo manguo πππ mpaka kuna kauka
Hahahah hii ya kukausha ndo yenyewe. Kuna katoto home kama kakilimwaga nachukua shuka lingine naweka juu. Bado naendeleza mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
yani utoto huu wa kujikojolea ukikumbuka lazima utoe ujicheke,
mimi nilikua nina adi mambinu yakiyunani najikojolea nikistuka ntafanya manuva kupakausha hapo, ntaweka manguo manguo [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka kuna kauka
Hahaaaa, duuuuu hatariiiiiii nimecheka kinyamaMimi mpaka leo sijapata jibu..Kwanini kojobla utotoni hua linanukia ubwabwa.?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilishawahi kumwaga kojo sebureni na mzee yupo mvua ilikuwa inanyesha nikapitiwa usingizi juu ya kochi tena ni mchana! Nilijilaumu sana hlf nilikuwa sielewi nini kilinikumba mpk kufanya upuuzi ule wkt mahali pangu pa kujikojolea ilikuwa ni kitandani [emoji23] nililamba stiki na ubaridi ule inakera sana[emoji34][emoji34]
Hahaha wewe ulikuwa kiboko yani ulifikia maamuzi hayo!Ninekumbuka mbali sana, nilikojolea kitanda (godoro ni ngozi) hadi ngozi ikatoboka. Mpk std 5 nakojoa. Siku nikajaribu kufungua kidudu na kamba ili mkojo usipite lakn sijui kamba ilitokaje. Nikabadili mbinu Nika tafuta kichupa nikawa naingiza kidudu wakati nalala lakini nashangaa asbh niko upande mwingine na mkojo umeshamwagika.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaHahahahahahhaa!!! Ngoja nitie kambi hapa nishuhudie wazee wa kulimwaga.
Nilikuwa nalimwaga lakini kiwango hakikutosheleza, sikuwa professional. Yaani sikufikia caliber ya international talents kama mtoa mada na wachangiaji wengineo.
Cc JF Members
πππNilishawahi kumwaga kojo sebureni na mzee yupo mvua ilikuwa inanyesha nikapitiwa usingizi juu ya kochi tena ni mchana! Nilijilaumu sana hlf nilikuwa sielewi nini kilinikumba mpk kufanya upuuzi ule wkt mahali pangu pa kujikojolea ilikuwa ni kitandani π nililamba stiki na ubaridi ule inakera sanaπ π
Kwani sisi hata ilikua ugonjwa basi? Kuna ugogonjwa na uvivu wa kuamka ama uoga.Michango yenu itakuwa ya maana kwa wengi mkitueleza nliwezaje kupona. Kumbuka wadogo zenu wanapitia hali kama zenu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kazi kazi ilikuwa ni pale unywe ma juice cola kisha ukalale kale ka njozi ketu pendwa kalikuwa kananitembelea nami bila hiana namwaga jikojo hilo Sasa ulemkojo wa juice cola unavyonuka hulali kabla ya kushushiwa kipondo ule mkojo tu unakuwa umeshakutesa kwa harufu maana harufu yake ilivyombaya ni kana kwamba unakuimbia ule wimbo wa utotoni "Leooo leoo utakoma!!!"πππππ
mkuu wewe ulikuwa mzoefu kazini, kazi kazi mpaka kwenye makochi ya alafu mchana sasa! πππ