mi sijaoa lakini kna demu mmoja nimezaa nae,
nilkutana nae njiani nkiwa na kadi ya harusi ya mwalimu wangu iliyokuwa ikifanyika siku hiyohiyo jioni pale NSSF waterfront. sasa kadi ilikuwa ya mr&mrs, nilipompigia mpenzi wangu tutoke nae, akasema hana muda muda siku hiyo, ndo nikaamua kutafuta mwingine chapchap. nilipokutana na huyu maeneo ya sayansi k/nyama nikamwomba anisaidie shida yangu, kwa vile alikuwa hanijui nilimbembeleza sana na alikubali, alinisindikiza na mawasiliano yakakolea, siku chache zilizofuata alisaula tukamega tunda na muda si muda alipata ujauzito akanizalia mtoto ninayeendelea kunjali na kumtunza kwa moyo na uwezo wangu wote hadi leo.
sikumuoa kwa sababu viwaango vyake havikutosha
Duu..hatari lakini salama.Utabaki hivyo hivyo bila kuoa.
Nilifahamiana naye humu JF
Kila mtu ana kumbukumbu ya hahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia mazingira ya UDSM watakuwa wanaelewa vizuri hili, nilibahatika kuwa na madesa mengi kiasi basi huyu mpz wangu akatengeneza ukaribu na mimi ili nae aweze kubenefit kwa njia hiyo..basi madesa yakawa madesa mpaka uchumba na hadi sasa tupo pamoja.
Hebu madau na nyie mwageni xperiece zenu hapa jamvini tufurahike pamoja.,ni vizuri sana kukumbukia ya kale.
Nanyi mkaanzisha wa kwenu vizuri sana, congratulations.mimi nilikutana naye in my first job, na yeye ilikuwa his first job.. i thank God todate for this man i call my husband...8 years on we still cherish that place...eeh mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakati unaanzishwa.
inaonesha serikali yako kichwani mwako ni ya kifisadi 100% wewe, nina mashaka hujitambuimi sijaoa lakini kna demu mmoja nimezaa nae,
nilkutana nae njiani nkiwa na kadi ya harusi ya mwalimu wangu iliyokuwa ikifanyika siku hiyohiyo jioni pale NSSF waterfront. sasa kadi ilikuwa ya mr&mrs, nilipompigia mpenzi wangu tutoke nae, akasema hana muda muda siku hiyo, ndo nikaamua kutafuta mwingine chapchap. nilipokutana na huyu maeneo ya sayansi k/nyama nikamwomba anisaidie shida yangu, kwa vile alikuwa hanijui nilimbembeleza sana na alikubali, alinisindikiza na mawasiliano yakakolea, siku chache zilizofuata alisaula tukamega tunda na muda si muda alipata ujauzito akanizalia mtoto ninayeendelea kunjali na kumtunza kwa moyo na uwezo wangu wote hadi leo.
sikumuoa kwa sababu viwaango vyake havikutosha
mi sijaoa lakini kna demu mmoja nimezaa nae,
nilkutana nae njiani nkiwa na kadi ya harusi ya mwalimu wangu iliyokuwa ikifanyika siku hiyohiyo jioni pale NSSF waterfront. sasa kadi ilikuwa ya mr&mrs, nilipompigia mpenzi wangu tutoke nae, akasema hana muda muda siku hiyo, ndo nikaamua kutafuta mwingine chapchap. nilipokutana na huyu maeneo ya sayansi k/nyama nikamwomba anisaidie shida yangu, kwa vile alikuwa hanijui nilimbembeleza sana na alikubali, alinisindikiza na mawasiliano yakakolea, siku chache zilizofuata alisaula tukamega tunda na muda si muda alipata ujauzito akanizalia mtoto ninayeendelea kunjali na kumtunza kwa moyo na uwezo wangu wote hadi leo.
sikumuoa kwa sababu viwaango vyake havikutosha
nakushauri uondoe hii post, mabachelor watavamia humu kusaka wachmba aiseee, kumbe wanapatikana, hata mimi sasa nitaanza kutafuta humu serious!!!!!!!!!!
Kila mtu ana kumbukumbu ya mahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia mazingira ya UDSM watakuwa wanaelewa vizuri hili, nilibahatika kuwa na madesa mengi kiasi basi huyu mpz wangu akatengeneza ukaribu na mimi ili nae aweze kubenefit kwa njia hiyo..basi madesa yakawa madesa mpaka uchumba na hadi sasa tupo pamoja.
Hebu wadau na nyie mwageni xperiece zenu hapa jamvini tufurahike pamoja.,ni vizuri sana kukumbukia ya kale.
hueleweki
Adabu yako ndogo sana mdogo wangu.mungu akuepushe na adhabu ya dharau zako..