Ulikutana wapi na mwandani wako?

Nilikutana naye Kibanda cha simu pale Keko Bora;

Alikuja kupata huduma awapigie nduguze na bahati mbaya mawasiliano yalikuwa sio mazuri nami nilikuwa nimepita kujiongezea "vocha" au airtime enzi hizo vicelular bado title flan hivi mtaani; well message ikanijai kwamba Its now or never! Nikaoffa kumsaidia kupata mawasiliano na kwa kujua kuwa alikuwa akiishi jirani nikamwachia simu yangu kwa muda! Namshukuru Mungu I took the risk!

Ni mwaka wa tano sasa na bado tunaikumbuka sana Keko bora! Na kama uonavyo avatar hapo Jr anajifunza kudrive!
 
chuo. it was 1st aug 2002. alikuwa ni mwanaume wa kwanza kunisemesha pale chuo wakati naanza, yeye akiwa 2nd yr
 
chuo. it was 1st aug 2002. alikuwa ni mwanaume wa kwanza kunisemesha pale chuo wakati naanza, yeye akiwa 2nd yr

Duh si mchezo kwa hiyo mpaka leo anakumega?
 
First time nilikutana nae pale "MRINA BAR" - Arusha, akanilezea kuwa maskani kwao Moro,.....nikachua namba ya simu yake baada ya kumalizana...Kama mwezi hivi, nikiwa kikazi Moro, nikakutana nae tena "KAUMBA NIGHT CLUB" . Siku zikasongea kama miezi sita hivi, akanipigiana kunieleza yupo mitaa ya "SEWA PUB" Buguruni ndio alikuwa ameingia kutokea "KILI TIME" sinza...na hiyo ndio siku ambayo nilitangaza kumchukua jumla ili awe mamsapu kwa kuwa niliona ni mwanamke anayeendana nami na milimwonea huruma kwa mahangaiko yake!.
 
I think nyie mnaenjoy kwenda bar na night club always.
 
lol......

mimi nilikwenda kwa mganga wa kienyeji kusafishwa mikosi.......
nikamkuta pale kwao.baba yake ndo mganga mwenyewe....

acha tu .ngoja niishie hapa.......
 

duh,kaka maeneo yote mliyokutana ni "red alert".hongera kwa kuwa na huruma kama wa mshumaa ambao wenyewe huteketea wakati unatoa mwanga/kuangazia wengine.
 

Dah pole sana mkuu nenda kapime afya yako ujilizishe kwanza
 




mimi nilikutana naye church...!!!
Tulikuwa tunasali naye kanisa moja na yeye akiwa muimbaji wa kwaya ya vijana ya hapo kanisani kwetu
wakati huo mimi nipo form one yeye std seven
 

....Hii imeniacha hoi, you made my day 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…