Je, alikuwa na uzoefu kwa kiasi gani?
Mimi nilikutana naye mbali kidogo, lakini tulipata kusoma shule zilizombali kidogo. Hivyo ilinichukua muda bila kumwona tena, na mara tulipokutana tena, ghafla kila mmoja anmwaga machozi, na kuanzia hapo ni hadi leo.
wewe je? unatuthibitishiaje kwako?Mimi wala sijapata mwandani wangu mwaya.
Wakaka wenyewe siku hizi wala hawasemi ukweli na wala si waaminifu.
tulikuwa tunasali kanisa moja,tukaanza kuzoeana,nilipoenda xul nairobi yy alikuwa anasoma mbeya akanishawishi nihamie huko,so nikahama frm nai to mbeya,in 2002,till tu date tupo pamoja.
so ukumaliza shule ukahamia mbeya
\not sikumaliza xul,nilienda mbeya nikiwa form 2 n yy fom 5,now tuko dar kule tulikuwa tunasoma tu,tumerudi dar,yy alikuwa kanizidi kidato,so akaanza chuo kabla ya mm,n nilipomaliza nikajoin chuo pia,now we are all working in different companies.
\
gud nimekuelewa bigup
First time nilikutana nae pale "MRINA BAR" - Arusha, akanilezea kuwa maskani kwao Moro,.....nikachua namba ya simu yake baada ya kumalizana...Kama mwezi hivi, nikiwa kikazi Moro, nikakutana nae tena "KAUMBA NIGHT CLUB" . Siku zikasongea kama miezi sita hivi, akanipigiana kunieleza yupo mitaa ya "SEWA PUB" Buguruni ndio alikuwa ameingia kutokea "KILI TIME" sinza...na hiyo ndio siku ambayo nilitangaza kumchukua jumla ili awe mamsapu kwa kuwa niliona ni mwanamke anayeendana nami na milimwonea huruma kwa mahangaiko yake!.
mimi nilikutana naye in my first job, na yeye ilikuwa his first job.. i thank God todate for this man i call my husband...8 years on we still cherish that place...eeh mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakati unaanzishwa.
Shukuru Mungu lakini ulipata hiyo kazi nyingine.
Ni kweli namshukuru Mungu kwa hiyo kazi, maana nimeshaifanya kwa 12 years sasa, na watoto 3. labda hii kazi ndo niliyoitiwa kwenye interview, ha haaaaaaaaaa
sehemu yangu ya kazi, alikuwa ni secretary wangu!