Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.
Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.
mimi nilikutana naye church...!!!
Tulikuwa tunasali naye kanisa moja na yeye akiwa muimbaji wa kwaya ya vijana ya hapo kanisani kwetu
wakati huo mimi nipo form one yeye std seven
si unajua tena uswazi mambo ya kuangalia michezo, sasa mimi ndo nilikuwa na TV kwenye hiyo nyumba ya kupanga, basi mambo ya kina bishanga yakianza nilikuwa nawaachia gheto wakinadada kibao, mwisho wa siku mmoja akatwalia na wengine wakaachwa ni story ndefu yenye kuhitaji nafasi.
Mh mie nilikutana nae shule baada ya aliyekuwa demu wangu kumfumania na mshkaji wangu, yeye alikuwa rafiki yangu wa karibu.
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.
Nilifahamiana naye humu JF
Nimeipenda na ina mwelekeo na story yangu kabisanilikutana nae home kwetu my mom used to be her friend so we used to play together while our moms were making stories. One day in when i was in std 6 her mom was travelling and she asked my mom to look over her girl (my current wife) so mama akasema leo ..... atakuja kukaa for a week, hehehhee my heart jumped we did nothing than play cards and stories but something kept growing. Another clicking instance was those days when getting a dawati la kukaa primary school was an issue, so every morning i used to make sure i look for her a dawati to sit (nilikuwa 4 classes mbele yake) I dont know how love grew but i felt some responsibity to take care of her tangu enzi hizoooo. So to cut the story short, mama ake alikuwa tooo relogious so she went to seminary schools till F.6 but i kept waiting, when she joined UDSM nikamtamkia waaaaazi and we started dating officialyy, i married her when she was in 3rd year kuogopa kunyakuliwa and guess what she was still pure and genuineeee. I believe some couples are made in heaven, when i look at our photos when we were young it just makes me love her more. we are happily married with twins (boy +girl) And our moms are still the best of friends.