Ulikutana wapi na mwandani wako?

hatuko pamoja tena, ila nakumbuka siku tuliyokutana kulikua na mvua kubwa sana, and i had an umbrella,since he had no umbrella na aliku anyeshewa na mvua,nikamwambia we can share my umbrella na alikubali.baada ya muda mfupi daladala ikaja na wote tukapanda daladala moja before droffing off tukapeana namba za simu na mawasiliano yakaendelea and we ended up dating for two years.mimi sikujua kama he had some aliyekua anasoma australia,muda wake wa masomo ulivyoisha akarudi nchini na hapo ndipo nilipoambiwa , SORRY,I LOVE U SO MUCH BUT I NEVER TOLD U THAT I WAS ENGAGED TO THIS OTHER LADY.....

Iliniuma saana.........
ila siyo mbaya najua Mungu atanipa mwingine

pole sana funga na kuomba utapewa mwingine

Huyo alikua anakutumia tu,wala hakukupenda,upendo hauko hivyo!

Mrudie mama watoto wako wewe mumlee mtoto wenu vizuri!!!! You will one day remember my words.....hiyo siku utakayooa mke mwingine na pindi atakapotambua una mtoto( hata kama utamwambia kabla coz wadada wengi hubadilika ghafla waingiapo ndani ya ndoa), you will have very harzadous time!!!
siku hizi nimepunguza mkuu, si unajua na utoto ulikuwa unanisumbua? na kitisho cha ukimwi nacho ndio hivyo tena imebidi tu tushike adabu, hatuna jinsi!

dada pole sana na yalokukuta. That was soooo rude for him to do that. Mungu atakusaidia upate mwingine

stor nzur mpk naona wivu

Mmh,jaman,stor za wengn nzur,mimi bdo nasubiri km bebii tu

Yeye alikuwa hall 1 Siku moja alikuja hall 7 kumtembelea shangazi yake aliyekuwa room mate wangu.Kuanzia hapo akawa mgeni wetu kila mara.

mimi nilikutana naye hospital nilienda kuchoma sindano nikiwa darasa 7 na yeye ndio doctor nilipomuachia **** anichome sindano basi ikawa tabu siakanibaka mimba hapohapo nikawa sina ujanja
ikabidi nimgande kama luba hadi leo nnae father house tunaenjoy maisha.

0

00alinibaka kwa

Kwangu mimi wapi nilikutana nae si issue ila ni how we started to love each other. I smile whenever I recall those sweetest days of my life.

Unampenda Bujibuji?

duh! Hongera zenu! Mlio kutana na ubavu wenu sahihi. mimi bado i kp on waiting!

Pole sana, siri kubwa aliiweka Mungu ni kutokujua mwenzako anafikiria nini.Any way kuanza upya sio vibaya basi tuanze upya pamoja tulisukme gurudumu hili

Mimi nilikutana nae SUA, kwa wale waliosoma SUA campus ya Mazmbu, kuna sehemu moja ya makabur ya Wasauz, huwa tulikuwa tunaenda kujpumzsha baada ya stres nyng. Nilimkuta maeneo hayo, nilikuwa na digital camera. Nilikuwa na mshkaj wangu tunapga picha. Akaniomba naye apige picha. Jion akazfata na flash rum kwangu, nilkuwa unit 3, hapo ukawa mwanzo wa urafk. Til this moment.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…