Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
We nae mvivu tuu week nzima hujajiokotea jimama!Li mamawatano wangu likikubali nitakuja kusema jf nikiwa napunguza stress za kufokewa na makame
Vita ni kali dada unadhani Mjusi Sharobalo na wenziye hawamnyatii na kumpanga mimi sina lolote ?We nae mvivu tuu week nzima hujajiokotea jimama!
(Na watoto wote wawili ni wa kwangu)Miaka kadhaa nlifungua saluni ya kike, nikaajiri binti flan hivi mrembo, siku nimezungukia mule kuongeza vifaa vya kazi nikakutana na pisi moja kali ikisetiwa nywele pale ofisini kwangu. I was shocked for a while. Nikamaliza kilichonipeleka then nikamwomba namba akanipa.
Sikumcheki kwa siku 4, then next day nikamtext na kumpanga hadi akajaa kwenye mfumo. Now she is my wife na tuko na watoto wawili.
Hii vita ya wakubwa sasa huyo mtoto anaweza kuhimili vitu vizitozito? Mambo makubwa watoto wadogo hawayawezi we pambania kombe mzeeVita ni kali dada unadhani Mjusi Sharobalo na wenziye hawamnyatii na kumpanga mimi sina lolote ?
Wacha nipambane huu mshangazi ni haki yangu kabisaHii vita ya wakubwa sasa huyo mtoto anaweza kuhimili vitu vizitozito? Mambo makubwa watoto wadogo hawayawezi we pambania kombe mzee
Kaa kwa kutulia mkuu usije kulia bila 7bu za msingi.Vita ni kali dada unadhani Mjusi Sharobalo na wenziye hawamnyatii na kumpanga mimi sina lolote ?
Aiseeee! Gambe yote niliyojaza kichwani imeyeyuka kama moshi, namana kunidhalau kimoyomoyo umeona haitoshi umeamua kuja kunivua mavyeo plus hadhalani, bwashee popote ulipo mkuu kunamsiba huku.Hii vita ya wakubwa sasa huyo mtoto anaweza kuhimili vitu vizitozito? Mambo makubwa watoto wadogo hawayawezi we pambania kombe mzee
Mbinu za vijana washenzi washenzi (vibaka)She's just a friend kwa Sasa, ila nili kutana nae supermarket fulani aki nunua mahitaji na rafiki yake.
Nili tumia dk 10-15 kumtazama tu, followed her hadi alipo ishia, next day nae ali pita mitaa ya home nikiwa nime chill tu.
told my brother huyu tuna enda kumsaka, nika mpata and the rest is history.
Kibaka mwenyewe, ng'ombe wewe.Mbinu za vijana washenzi washenzi (vibaka)
Umuoe Sasa,tapeli wewe.