The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Nimeshamaliza tatizo ishu alitumia kauli dharau hata kama kweli nilikuwa nimefanya mistake labda Kwa mdadi au vipi.Jaman ,atembee na PC?
Sawa The Transporter ,najua na wewe Baba Bite anakupa ham na mizuka sana,Lakini mambo yamekaa sawa sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]Nimeshamaliza tatizo ishu alitumia kauli dharau hata kama kweli nilikuwa nimefanya mistake labda Kwa mdadi au vipi.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mi nilikuwa timekeeper wakuu
Nipigieni makofi tafadhali!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mi nilikuwa timekeeper wakuu
Nipigieni makofi tafadhali!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
Hehee staki kukumbuka vya shule mie
hapo kwenye red darasani pamenitia shaka kama kweli ulikua upo vizuri darasani.mm nilikuwa mkorofi sana kupinga wezangu ndo starehe yng ila dalasani npo vzr
Lzm ulikua kichwaNilikuwa timekeeper toka darasa la tano nikaenda sekonda nikawa tena timekeeper form nikawa kiranja.wa tahaluma form 3 nikarudi tena timekeeper
Form two waziri wa michezoMi nilikuwa timekeeper wakuu
Nipigieni makofi tafadhali!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
Michezo ipi?Form two waziri wa michezo
Mashindano yaliendeshwa kwa njia ipi mpaka wewe ukawa Champion?😀😀Mimi nilikuwa Monta ila baada ya siku mbili nilitimuliwa maana nilikuwa ndio champion wa kelele darasani