Ulikuwa na ujuzi wowote wa kidigitali ulipoanza kutumia smartphone?

Ulikuwa na ujuzi wowote wa kidigitali ulipoanza kutumia smartphone?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Ujuzi wa Kidigitali umekuwa hitaji la msingi katika Miaka ya hivi karibuni.

Lakini je, hujawahi kukutana na Mtu anayepata changamoto kutumia Kifaa cha Kidigitali? Hii inakupa picha gani?

Ni ngumu kwa Wananchi kutumia na kufaidika kikamilifu na Intaneti ikiwa hawana Ujuzi unaohitajika.

1677485598969.jpeg

Unakuta mtu anatumia smartphone kubwa tu yenye uwezo, ila hawezi hata kudownload wimbo,
Kutafuta detail zozote mtandaoni pia hawezi.
Sasa unajiuliza huyu smart inamsaidia nini?
 
Kupitia nokia fulani hivi nilianza kuingia google bila kusahau kuchat mtandao wa voda etc
 
Wwngi wanakua nazo kwa ajili ya showoffs
Unakuta mtu anatumia smartphone kubwa tu yenye uwezo, ila hawezi hata kudownload wimbo,
Kutafuta detail zozote mtandaoni pia hawezi.
Sasa unajiuliza huyu smart inamsaidia nini?
 
Back
Top Bottom