Ulikuwa ni msiba mzito kwa KakaKiiza.......!

I'm really sorry for your loss KakaKiiza Mungu akutie nguvu uweze kuwalea watoto wako(its sad jamani daaah)

Mungu awabariki sana Mtambuzi, Nicas Mtei na wote walioshiriki kutuwakilisha wana JF......tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KakaKiiza. Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.Amen
 
Pole sana kaka yetu mungu akutie nguvu na imani katika kipndi hiki kigumu
 
Mtambuzi asante sana kwa huu uzi, pia shukrani za kipekee kwako kwa kutuwakilisha na wengine wote waliohudhuria msiba.

Nimewasiliana na KakaKiiza kumpa pole maana sikuweza kwenda msibani, kweli Mungu amtie nguvu yeye na watoto wake katika wakati huu mgumu sana.

Apumzike kwa amani Mrs.KakaKiiza, AMEN!!
 
mungu ampati nguvu na ujasiri katika kukabiliana jinamizi la msiba.marehemu wapumzike kwa amani.pole sana kaka kiiza.
 
pole sana KAka Kiiza, Mungu akutie nguvu na uwezo wa kupambana na hari iliyokukuta
 
Naogopa mie jamani huyu ni mamam wa tatu mwaka huu kusikia kafia ujauzito jamani ndugu zangu ppia wawili naogopa sana whats wrong jamani,ee mungu tusaidie
 
Pole kakaKiiza ila huyu mungu aliyetuumba kwa udongo na kuturudisha udongoni apewe sifa..pole kaka mtegemee mungu ili upate faraja...RIP mamaKiiza..
 
Polee sana Kiiza, I just hope kulikuwa na wana JF wengi wakutosha kuwakilisha huko... Kufiwa na mwenza ni mtihani mno na ni hadi yakufike ndio waweza elewa. My deepest Condolences to you. Mwenyezi Mungu mwingi wa upendo amlaze mahala pema peponi marehemu.

Naomba nikushukuru Pia Mtambuzi kwa kutuweka pamoja kwa kupitia hii thread ili tuweze toa pole zetu wote kwa pamoja. Pamoja sana kaka...
 
Dah!Inauma sana na inauma zaidi kuwa mambo mengine hatuna uwezo wa kuyazuia ila ni kukubaliana nayo tu!Mungu awe nawe Kiiza kipindi hiki kigumu!Be strong!
 
Daaah...!
Pole Kakakiiza, Mungu anaipenda saa familia yako.
na ameamua kuzungumza nayo kwa namna hiyo.
Tunaiombea familia yako faraja ya Mungu na amani na imani yake kwenu.
Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…