Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hehehe poleLoh!!!ningejua nisingejaribu na hii nimefanya baada ya tafakur ndogo,jina langu la mwamzo ni Arif!!!!wadau msijaribu kuligeuza msijesema nimewatukana nikapigwa BAN bure!
mbona yapo mengi tu, MAMA, BABA, KAKA, DADASio neno pekee bana, hebu soma hili kinyumenyume INI
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Loh!!!ningejua nisingejaribu na hii nimefanya baada ya tafakur ndogo,jina langu la mwamzo ni Arif!!!!wadau msijaribu kuligeuza msijesema nimewatukana nikapigwa BAN bure!
sio kweli, think out of the box, kaka=akak, dada=adad, mama=amam, so ukizisoma kinyume hazijimbona yapo mengi tu, MAMA, BABA, KAKA, DADA
yani mengi tu
haina faida yoyote kujua hiliUnajua kuwa neno UVIVU ndio neno pekee la kiswahili ambalo hata ulisome kinyume linabakia kuwa na maana ile ile?
Tufanyeni kazi tuache uvivu wadau!