Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Mwenzako anamiliki duka la nguo Marekani na kampuni ya mitindo. Waswahili hata Manji mtasema hana pesa. Kama kujitunza ni rahisi na burebure anza kumtunza mkeo akifikisha miaka 40 mpige picha utapata jibu.

Hahahahaha hiyo picha abaki nayo tafadhali, asije kutuharibia siku
 

Mdakuz
 
Mzuri....
duh 41? Hata mi mwenye 20's naonekana bibi hongera zake
Hv ninyi watoto wa humu JF ni wazuri kweli! ama sura-na maumbile mmefanana na sisi kaka zenu hicho kifaa hapo juu ni balaa! ni matumaini yangu hamuachani mbali sana na huyo muamerica
 
Hivi kumbe ndo matata hivi halafu anaitwa mpekecha cherehani!! Hongere Linda
 
wabongo hawana kazi.Kumwongelea linda yanini sasa? sioni faida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…