Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kumbeeee hayaaa aiseee
Au ukisikia ndugu yako anafanya kazi Kilimanjaro hotel unajuwa huyo atakuwa ni mhasibu? Vipi na wale wanaotuletea bia kwenye ndege? Watanzania tubadilishe mindset.
Nasikia ashazalishwa watoto watano halafu kila mtoto na baba yake
Kawaida tu tatizo wapiiu????
Hapo sasa!! Ana watoto watano lakini kama ana miaka 20+ sijajuwa hapa hoja ni nini!!??
Ataomba pooo
Ila dina we si ushamjua??huhuu chezeiyaa
Nasikia ashazalishwa watoto watano halafu kila mtoto na baba yake
Mimi Linda jinsi jinsi nivyompenda aki ni cheat mimi ndio ntamwomba msamaha
Halafu huyo mumewe naona anazeeka halafu linda yuko vile vile
How come?
Is it come come
????????????????????hhhaaa
Kumbe na wewe unajua lugha ya queen elizabeth eeeeehhh????
Waswahili wanasema'Ana udongo mzuri'
Ingawa mimi nasema PESA nayo ina mchango mkubwa hapa.
Hiyo nilikariri tu hhhhaaaaaaaaa
Sema anajua kujitunza vizuri na kuulinda urembo wake, lakini wala hana hela za hivyo huyu.
Ova.
Mwenzako anamiliki duka la nguo Marekani na kampuni ya mitindo. Waswahili hata Manji mtasema hana pesa. Kama kujitunza ni rahisi na burebure anza kumtunza mkeo akifikisha miaka 40 mpige picha utapata jibu.