Ulikuwa wosia wa bibi kwa mwanamke

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Nakumbuka siku moja nimekaa na bibi muda wa jioni tunabadilishana mawazo ya hapa na pale,katika zile stori tukaongelea kuhusu kuoa mwanamke na maisha baada ya kuoa ,akasema

"Mjukuu wangu fanya yote kwa mwanamke ila kama hukumridhisha chini, atakudharau sana na hata kusikiliza kamwe

Akaendelea kusema" mwanamke anasikilizia chini,kama utakuwa vizuri huko chini mke wako atakuelewa na kama hapo chini hutakuwa vizuri sahau kamwe hutasikilizwa"

Ila mbona wosia wa bibi hauko sawa, tunapiga kazi lakini mwanamke anadharau na hakusikilizi?

Je bibi alinidanganya?
 
Mambo yamebadilika sikuhizi pesa!
 
Bibi yuko sahihi kwa kipindi kile, ila sikuizi hata kama una kibamia ila pesa unayo utasikia mwanamke wako ana kusifia " baby una bombardier"
🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu
 
MAGACHA huyo Bibi yako hakuona mbali kwani yeye alikupa ushauri kulingana na zama zake na kama ujuavyo kila zama ina starehe yake. Wanawake wa zama hili starehe yao ni ubishoo, ulimbukeni, kuwa na mwanamme mwenye hela ili ajionyeshe kwa wenziwe waje wamuibie mumewe baadaye then ajute na kulia kisha aende Instagram kutangazia ulimwengu jinsi marafikize walivyomfanyia. Baada ya muda anarudi Insta kusoma pole alizopewa na walimwengu, hii ndiyo furaha ya wanawake wa sasa. Ukimtesa kwa kutoka na marafikize ndiyo anafurahi zaidi kwani anapata kisingizio cha kuwa Instragram kutwa kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…