Hakuna kitu tangible alichofanya Nyerere zaidi ya kumaliza akiba ya Taifa lenu kwa kujijengea hishma ya kisiasa kuwa yupo mstari wa mbele katika ukombozi wa Afrika na kuuwa uchumi wenu kabisa.
Nchi alipewa ikiwa na akiba kubwa ya fedha, haikuwa na njaa hata kidogo, uchumi wake ulikuwa mzuri, hakukuwa na ulanguzi wala mwendo wa kuruka na kila kitu kilipatikana madukani. Yeye ndie muasisi wa Rushwa na Ulanguzi huko Tgk.
Wee acha tu ndugu yangu enzi hizo!!! Ukimsimulia kijana wa dot com hawezi kuelewa mambo yalikuwaje.
Nyerere alikua janga la taifa
Swali lako hapa ni rahisi sana; lakini labda uliulize kivingine... unakumbuka ni Watanzania wangapi walikufa kwa baa la njaa wakati wa duka la kaya? Kule mtaani kwenu au kijijini unakumbuka kuwaona watu wanatembea mbavu nje kwa njaa; au hata kama unakumbuka watu waliokuwa wanakula mizizi yenye sumu ili kupata angalau chochote mdomoni...?? Labda kama kuna mtu mwingine anaweza kutusaidia katika haya...
Unachoita "uzembe" wengine tunakiona "the genius of Mwalimu". Hivi unajua leo hii kuna Watanzania wanatatizo la njaa na hii imekuwa ni kila mwaka licha ya kwamba hakuna tena "duka la kaya"?
Ukisoma wote "wanaokumbuka" kwenda kupanga foleni, kupewa mgao wao utaona kuwa hakuna hata mmoja ambaye anasimama na kusema kuwa kwenye familia yao kuna mtu alikufa kwa njaa...!!
Think about it.. je bila ya duka la kaya tungekuwaje?
Humtendei haki mwal hata kidogo mkuu.
Kumwita mwal muasisi wa rushwa? Nchi ndio kwanza ilikuwa changa tena huru watu waliokengeuka hawawezi kukosekana mwal hakuwa mungu kuwadhibiti kama dawa ya mbu wakati wa usiku kwamba inaua mara moja kwa mpigo alijaribu na kukemea kila alipopata nafasi ya kufanya hivyo. Sasa ukimsema mwal kuhusu rushws huyu kikwete utasema vl.kama rushwa ingekuwa marashi bs kikwete ansnukia mwili mzima
Ukifwatilia sana mambo alikuwa mkombozi wa taifa.majanga ni haya ya sasa hata katiba mpya imeshaonekana ni ndoto.
Mimi nilijua kaya bangi,kumbe unamuelezea nyenyere na sera zake za kuiga.nyenyere alikuwa mlala hoi aliyesindwa kusomesha watoto darasani,na ndo maana alikufa kwa kifo cha aibu (mkanda wa jeshi),inasemekana alikuwa nakimada wa nje pale masaki ndie aliyempa lile goma.namchukuia nyenyere kuliko ukoma.
Duh umenikumbusha mbali nakumbuka enzi hizo nilikuwa mdogo natumwa kukaa nje kusubiri gari la sukari likisimama niwastue ndani gari ina mlango nyuma ina mifuko ya kilo moja moja ya kaki na huruhusiwi kununia zaidi ya mfuko mmoja.
Ww ulikuwa absent???POleni mliokuwepO
Ndugu umenikumbusha mbali sana, Enzi za kuvaa mtumba toka Burundi unaonekana mhujumu wa uchumi,kuogea Sabuni ya Magwanji na kuvaa Batiki.
Mwl,alijaribu kwa kiasi chake aka prove filure ktk sera za ujamaa na sasa utandawazi.
Enzi za kusikiliza praye(santuri) na mwenye cassete memory Q tajiri?.
"Petrol stations zifungwe saa 3 usiku, na magari binafsi yasitembee Alhamisi usiku mpaka Jumatatu asubuhi."