Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha embu mfuate huko huko mkuuYule dada nliyekuwa nae pm jana naomba aje tena leo mtandao umerudi
itabid wawe na mtandao wa backup[emoji23] [emoji23]Aise nilihisi MB zimekwisha,Nyuzi za gentlemcyn(jinsi anavyotumia FANI katika uandishi tu,nothing serious)
Nilimiss comment za kila mtu maana huwa zinanipa ladha tofauti mathalani kwakuelimisha na kuburudisha
Jana hata vyupa vilikua havipandi kabisaMke wangu aligundua mapema alipoona chakula sijala usiku
Jf inatuletea ulimwengu viganjani
Hahaha si mchezo,mambo yanabadilika mda wowote aiseitabid wawe na mtandao wa backup[emoji23] [emoji23]
kwa wale member tunaojuana tuliulizana sana haswa kweny magrp huko wsp,tuliangaika kweliHahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.
Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.
Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
Yaani huwa najisemea jf ni kisima cha burudani. Tulio wengi hata hatufahamiani ila kupitia maandishi yaani tumekuwa familia moja.Aise nilihisi MB zimekwisha,Nyuzi za gentlemcyn(jinsi anavyotumia FANI katika uandishi tu,nothing serious)
Nilimiss comment za kila mtu maana huwa zinanipa ladha tofauti mathalani kwakuelimisha na kuburudisha
Marahabaa shunie....za masiku?Mzee wa chelsea shikamoo
Mweeeehkwa wale member tunaojuana tuliulizana sana haswa kweny magrp huko wsp,tuliangaika kweli
Hahahaaaaa. Bora nyie.kwa wale member tunaojuana tuliulizana sana haswa kweny magrp huko wsp,tuliangaika kweli