Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Afadhali nimeupata sasa hivi
Huu mtandao ni very addictiveaisee nilikosa raha kabisaaaa eti nikaanza kumuuliza Smart911 love hauna tunamba twa huyu yule yule kule na naniliuu nianze kuchat nao??? you know humu Kuna members wanaifanya siku yako kila mmoja kidizain yake ilimradi unajikuta unaburudika tu na roho yako
Ni mtu kama wewe mkuu ila tofauti ni kuwa wewe mtu na wao watu wasiojulikanaKwani ulishambuliwa na nani
Na vyombo aoshee[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hazard ebu acha uchochezi wako nacheka sana
WasiojulikanaKwani ulishambuliwa na nani
Nzuri..Happy Muungano Daykwema, habari yako!
Umemficha wapi JJ ?Na vyombo aoshee[emoji23] [emoji23]
siku nyingine usigande sana pm,kule unachukua namba ya simu fast unaenda kuliendeleza kwingine!sawa kijana??Yule dada nliyekuwa nae pm jana naomba aje tena leo mtandao umerudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sawa sasa utafikiri kweliHapo wewe tuSawaaaa
Shemela hivi umeelewa hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yupo bizee na kazi,,yani boss wake ni kama jiwe,simu wanaacha reception[emoji23]Umemficha wapi JJ ?
Hauwezi kuwa serious mkuu[emoji23] [emoji23]Bora ningepimwa tezi dume kwa nguvu kuliko kuikosa JF aisee, jana moja tu chakula hakikupita[emoji13][emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Ogoha kabisaaa aki![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoni
Hauwezi kuwa serious mkuu[emoji23] [emoji23] View attachment 756982
Hata huwo ni unywaji tu..karibu kwenye chamaOgoha kabisaaa aki!
Huwa sinywi pombe mie!! Ila nkitaka kutoa la moyoni huwa najilipua
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sawa sasa utafikiri kweli
Vipi MBONA hakuna feedback ilihackiwa vipi na vipi kuhusu usalama wa users?Jf patamu zaidi asee!
Upi huoo!!Hata huwo ni unywaji tu..karibu kwenye chama
Mmmh! Hapana dada [emoji38]Ebu kuja hapa au wewe ndio tulikuwa tunachat DM