Ulimaji wa ufuta

Joined
Mar 19, 2015
Posts
23
Reaction score
18
Habari wana Jf,

Nimekua msomaji wa makala mbalimbali humu ila nimekua mchangiaji tu! Leo nakuja kwenu na uzi huu kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie jinsi ya kulima ufuta, gharama, faida, hasara, wapi unafaa kulimwa, mauzo yani changamoto zake kwa ujumla.

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…