Ulimbukeni na ushamba wa mashabiki wa kitanzania!!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Tafakuri Jadidi:

Je, Tudhani Ni Sahihi Inapokuja Ushabiki Wa Simba Na Yanga Hata Watanzania Wenye Digrii Zao Kugeuka Kuwa Wapumbavu Tu…?!

Ninaposoma hoja za mitandaoni inapohusu Simba na Yanga kuna mahali mtu mzima unaogopa juu ya njia tunayopita kama taifa.

Wengine ni wasomi kabisa na digrii zao wanakuja na hoja dhaifu mno.

Kwamba hata baadhi ya wasomi hao mishipa inawatoka kutetea upumbavu; ufanywe na Simba au Yanga, kwa vile tu ni washabiki wa timu hizo.

Ona leo mfano huu wa mmoja kujiita ‘ Wananchi na mwingine ‘ Wenye Nchi’!

Hivi nani siye mwananchi katika Jamhuri hii? Na nani ndio ‘ Wenye Nchi’ na wengine wana nini? Kama haya si ya kipumbavu ni kitu gani kwenye nchi inayohangaika kulinda Umoja wa Kitaifa?
Umoja wa Kitaifa ni hazina ambayo wengine wanaitafuta.

Tukidharau haya yenye harufu za mgawanyiko wa kiitikadi miongoni mwa wapenzi wa Simba na Yanga, kesho tutaanza kunusa harufu za ushabiki kuhamia kwenye nyumba za ibada.

Wahenga walitwambia; kamba hukatikia pabovu.

Tunajua ulipo ubovu wa kamba yetu. Tuendelee kupakaza kwa nta. Tusikatikiwe.

Ni Tafakuri Jadidi.

IMG-20220809-WA0072.jpg
 
View attachment 2319376
Kwahili mtoa post ....mm naungana nawwe Simba wamepigwa kwa yule muzungu ........anakimbia Sana Hadi mpira anauacha nyuma[emoji23]
 
Tafakuri Jadidi:

Je, Tudhani Ni Sahihi Inapokuja Ushabiki Wa Simba Na Yanga Hata Watanzania Wenye Digrii Zao Kugeuka Kuwa Wapumbavu Tu…?!

Ninaposoma hoja za mitandaoni inapohusu Simba na Yanga kuna mahali mtu mzima unaogopa juu ya njia tunayopita kama taifa.

Wengine ni wasomi kabisa na digrii zao wanakuja na hoja dhaifu mno.

Kwamba hata baadhi ya wasomi hao mishipa inawatoka kutetea upumbavu; ufanywe na Simba au Yanga, kwa vile tu ni washabiki wa timu hizo.

Ona leo mfano huu wa mmoja kujiita ‘ Wananchi na mwingine ‘ Wenye Nchi’!

Hivi nani siye mwananchi katika Jamhuri hii? Na nani ndio ‘ Wenye Nchi’ na wengine wana nini? Kama haya si ya kipumbavu ni kitu gani kwenye nchi inayohangaika kulinda Umoja wa Kitaifa?
Umoja wa Kitaifa ni hazina ambayo wengine wanaitafuta.

Tukidharau haya yenye harufu za mgawanyiko wa kiitikadi miongoni mwa wapenzi wa Simba na Yanga, kesho tutaanza kunusa harufu za ushabiki kuhamia kwenye nyumba za ibada.

Wahenga walitwambia; kamba hukatikia pabovu.

Tunajua ulipo ubovu wa kamba yetu. Tuendelee kupakaza kwa nta. Tusikatikiwe.

Ni Tafakuri Jadidi.

View attachment 2319376
Acha kuwa serios na maisha, hebu jipe furaha hata kidogo basi
 
Back
Top Bottom