Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
m nafikiri n PROBLEM YA WATZ WOOOOOTE
Jamani simtetei hasheem but kama umeishi usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na kwenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni tafaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,
Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
Ni vema na Haki kwa ulilolisema hapa lakini alinishawishi mimi kuona kuwa nilazima Hashmu aonge kiswahili ambacho kitampa tabu kueleweka kwenye jamii yake......mfano ni Kajumlo wakati akiishi Sheraton..sasa Serena alijitahidi kuongea kiswahili lakini alishindwa hivyo mimi kama sioni wapi alipo kosea mpaka kumanzishia uzi!!wewe unaye jua lugha 3 sitatizo yawezekana hukuwahi kukaa kawenye nchi hizo kwakipindi chote chakukufanya ukasahau kiswahili......Pili ujue ukikaa mahali kwa takiribani miaka 5 hauongei lugha yoyote uliyokulia kunauwezekano mkubwa wakusahau baadhi ya vitu siyo kila kitu utakuwa unajua ila kwakuzingatia umri wake na kwakuwa nikijana na wengi wa vijana wetu hupenda tamaduni za magharibi na yeye mungu kampa kitu alichokitamani...anajisikia kuongea kama mmarekani..na ndo vijana wetu wanavyopenda acha lugha hata mavazi nk!Hebu tulia kidogo, unajua hapa JF ni sehemu ya kuonyesha kupevuka kwako ki-akili. Nadhani wewe bado hujajinasua na tatizo la elimu, ndo maana unadhani kiltu celebrity maana yake ni kiingereza.
Ktk waafrika waliofanikiwa sana kuliko hata ndugu yetu Hashim ni Dikembe Mutombo. Na hakika Hashim hatafikia kiwango cha Kongo huyu. Unamfahamu? hebu google umfahamu. Sasa ingia youtube umusikie anavyoongea na kutokana na hilo pia utaweza kupima ufahamu wake. Ni mkubwa na hutamsikia akijiingiza ktk ulimbukeni kama huu.
Mimi usiwe na mashaka na mimi. ulimi wangu unazikaanga lungha zaidi ya 3 za kigeni lakini siyo sifa ya kuniondolea Kiswahili changu. Tena mbele ya TV!
Hiyo ni ishara ya elimu haba.
Lakini pia kumbe naona wewe pia unaamini umaarufu ni kusahau Kiswahili.
Hebu tulia kidogo, unajua hapa JF ni sehemu ya kuonyesha kupevuka kwako ki-akili. Nadhani wewe bado hujajinasua na tatizo la elimu, ndo maana unadhani kiltu celebrity maana yake ni kiingereza.
Ktk waafrika waliofanikiwa sana kuliko hata ndugu yetu Hashim ni Dikembe Mutombo. Na hakika Hashim hatafikia kiwango cha Kongo huyu. Unamfahamu? hebu google umfahamu. Sasa ingia youtube umusikie anavyoongea na kutokana na hilo pia utaweza kupima ufahamu wake. Ni mkubwa na hutamsikia akijiingiza ktk ulimbukeni kama huu.
Mimi usiwe na mashaka na mimi. ulimi wangu unazikaanga lungha zaidi ya 3 za kigeni lakini siyo sifa ya kuniondolea Kiswahili changu. Tena mbele ya TV!
Hiyo ni ishara ya elimu haba.
Lakini pia kumbe naona wewe pia unaamini umaarufu ni kusahau Kiswahili.
Mimi ananiudhi tu John Tendwa anavyozungumza...huwa natamani kumtandika bakora kujifanya sharobaro...
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??
Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?
Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.
Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.
Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
Ujinga ni kwenda Marekani miezi 3 kurudi unaongea "whaatss mameen", You know i'm sayin', Aiyt, Holla"....wakati ukienda India 4 years unarudi na kiswazi kile kile. wala huna "Vee arrr doing werry Vell MY friend"
Tido mhando kakaa sana uingereza lakini hajasahau kiswahili. Mabalozi wengi wamekaa sana nje lakini hawajasahau kiswahili.
alikuwa anatangazia bbc kwa lugha gani?
samahani kidogo
We Jamaa acha Wivu...alokwambia Hashimu amesahau kiswahili nani ??? Mbona anaongea Kiswahili fresh tu,sema amemiss Misamiati kadhaa ya Mtaani Kinachokuchanya ni Vocal na accent...
Nilikaa Iringa 4yrs kurudi Dar nikawa naoneka na rafudhi ya Kihehe...ivoivo nilivoenda Ujerumani kurudi nikawa naongea Kama natafuna Mahindi nachekwa..Hashimu Hakai na brokeAssNigger wa mtaani hakuna waswahili anaokaa nao zaidi ya Friends zake...Rafudhi/rafuzi lazima ipotee
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Na wewe ni wale wale akina Hasheem!
HAKUNA MTU ALIYEENDA ULAYA MTU MZIMA AKASAHAU LUGHA YAKE. LABDA KAMA ALIENDA MTOTO SANA. HAPO BADO NIMEKATAA. KAMA ANAONGEA KIINGLISH-KINUGU-KIAMERIKA HILO CHAGUO LAKE. LAKINI KASAHAU KIBANTU...NONONONO...:nono:Jamani simtetei hasheem but kama umeishi usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na kwenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni tafaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,