Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

Chai.

Huyu ni mkazi wa kigamboni na sehemu anayopenda kutembelea ni Rongoni beach resort, mbali na hapo ni kitambaa cheupe cha mbagala.
Sijui anapo kaa ila nimegumiana nae tabata mara kadhaa mara zote izo aliomba bia ili anipe papa. Yawezekana unasema ukweli na mimi huo ndo ukweli wangu
 
Kumbe binti nilijua dume
 
Dah! Mbona ni hatari hii maana hadi sasa kampani yake ni hao hao masela
 
Wahuni Temeke, Wahuni mbagara, Wahuni Humohumo
Dah!! Wahuni sio watu kabisa aliwaita mwenyewe lakini Mama Amina 😃
Wamempiga mimba 😃 😀 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…