economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 247
Jamani hivi ubora wa chuo unapimwa kwa wanafunzi wengi kudisco au kwa wanafunzi wengi kufanya vizuri? Kama ubora wa chuo ni matokeo ya wanafunzi wengi kudisco then inakuwaje shule za sekondari huwa tunapima ubora wake kwa kuangalia idadi ya wanafunzi waliofanya vizuri lakini inapokuja kwenye kwenye vyuo utakuta watu wakiona chuo kimefelisha wanafunzi wengi ndio hicho chuo huonekana ni bora.
Naomba mtazamo wako pia
Naomba mtazamo wako pia