Ulimi wangu jamani nisaidieni!

Ulimi wangu jamani nisaidieni!

slab

Senior Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
119
Reaction score
27
Habari wakuu naombeni msaada wenu nashindwa kuelewa huu ni ugonjwa ganI yani ulimi wangu umekuwa kama na cracks hivi afu na kama hairy like stucture kwa katikati but maumivu hamna but kama unakwaruza hivi.

Ilinitokea baada ya deep kissing(denda)kwa my girlfriend
 
deep kissing???
hebu kwanza Kongosho aje!

hivi unakumbuka kisa cha yule mdada wa salenda aliyempa omba omba hela mkono ukaota manyoya kama wa paka??
 
Last edited by a moderator:
Wataalam wamegundua kuwa oral sex husabsbisha cancer ya mdomo. Uwe mwangalifu, hasa huku kwetu ambako huduma za kinywa na meno ni hafifi sana
 
kuna kitu kinaitwa thrush, hebu fatilia yaweza kuwa ndo hyo, nenda hospital kubwa ukaonanane na daktari wa magonjwa ya kinywa
 
Ni kwa muda gani una hilo tatizo? ..Je, kuna maumivu yeyote pasipo na wakati wa kula? Je, unahisi kutokuwa na ladha kwa vyakula utumiavyo?..rangi ya ulimi wako ikoje? Kuna utando wa aina yeyote? na Usafi wako wa kinywa ukoje?

Vipi mikono na ngozi vimebadilika kwa hali yeyote? Nguvu yako ya kuona hasa gizani(mwanga hafifu) imebadilika?
 
Ni kwa muda gani una hilo tatizo? ..Je, kuna maumivu yeyote pasipo na wakati wa kula? Je, unahisi kutokuwa na ladha kwa vyakula utumiavyo?..rangi ya ulimi wako ikoje? Kuna utando wa aina yeyote? na Usafi wako wa kinywa ukoje?

Vipi mikono na ngozi vimebadilika kwa hali yeyote? Nguvu yako ya kuona hasa gizani(mwanga hafifu) imebadilika?

ni kwa wiki nne sasa,hakuna maumivu wakati wa kula,ladha ya chakula ipo,rangi ya ulimi ni nyeupe,utando unakuwa kwenye lips kwa ndani,kuona kwenye giza hali haijabadilika!!
 
Hee deep kissing involving massaging each others tongue but GENTLY...sasa mmechubuana bila shaka subiri utapoa tu wenyewe....

mh wiki ya nne sasa!!!!!!!!!
 
Sasa mbona hukusema tangia mwanzo kama it has been so long..Nenda hospitali ndugu yangu inawezekana una infection au kama walivyosema wadau wengine una mapungufu ya VITAMIN A
 
Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa na ku-mantain ni kazi kama hauna stamina



=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
Back
Top Bottom