upungufu wa vitamin A nenda hospitali
but mbana imenitokea 2 days after deepkissing(denda)
mlikuwa mkisuguana ulimi au mlingatana?but mbana imenitokea 2 days after deepkissing(denda)
mlikuwa mkisuguana ulimi au mlingatana?
Ulienda chumvini uvinza?
kuna kitu kinaitwa thrush, hebu fatilia yaweza kuwa ndo hyo, nenda hospital kubwa ukaonanane na daktari wa magonjwa ya kinywa
Ni kwa muda gani una hilo tatizo? ..Je, kuna maumivu yeyote pasipo na wakati wa kula? Je, unahisi kutokuwa na ladha kwa vyakula utumiavyo?..rangi ya ulimi wako ikoje? Kuna utando wa aina yeyote? na Usafi wako wa kinywa ukoje?
Vipi mikono na ngozi vimebadilika kwa hali yeyote? Nguvu yako ya kuona hasa gizani(mwanga hafifu) imebadilika?
Hee deep kissing involving massaging each others tongue but GENTLY...sasa mmechubuana bila shaka subiri utapoa tu wenyewe....tulikuwa tukisuguana mkuu
Hee deep kissing involving massaging each others tongue but GENTLY...sasa mmechubuana bila shaka subiri utapoa tu wenyewe....