Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Sote tunajua kazi ya ulimi wakati wa kula chakula,bila ulimi huwezi kutafuna,bila ya ulimi huwezi kusikia ladha.Lakini kwenye uhusiano ulimi nao unahusika kwenye kuuimarisha uhusiano au kuuvunja.Ndo maana unasikia chunga ulimi wako!Lakini ulimi pia husaka na kunogesha UTAMU wa uhusiano,Je wajua namna ya kuutumia?Kama hujui pole sana unakosa mengi.Hebu watafute wajuzi!