Mhhhh! King'asti wimbo huu hata mie umenipiga chenga.
Strangely nakumbuka only that line, nothing else! Mmmh, labda yule sweetheart wangu tuliesoma nae chekechea alikuwaga ananiimbia as we held hands tukienda skuli kunywa uji...
Ulimi ni kiungo kido lakin matatizo yake ni makubwa sana. so inahitajika kujua matumizi yake katika kila ufanyacho. Ulimi kwa wawili hutakiwa kutumika vyema ili kuamsha hisia za mapenzi kati ya wapendanao. utumike kutamka maneno mazuri yenye mvuto wa kimahaba, tena yenye kuleta amani na upendo na furaha kati yenu kuliko kuleta hasira,mafarakano jeuri na kiburi.
katika 6*6 ulimi utumike kama kiungo cha kuleta raha. Hapa kinatumika mithili ya mtu anawezavyo kutumia kiungo chchote kingine.
. Ukitemea mate chakula binadamu atashindwa kula, au mkojo ukidondokea kwenye msosi hauliki coz ana akili and hence kinyaa.
Wataalam wa sayansi ya tiba wanasema matumizi ya ulimi ni kuonja, kusogeza chakula kooni, kuumba maneno, n.k. Kwa wanyama wasio na akili (wala kinyaa) mfano mbwa hulamba hata sehemu zao chafu za siri ili kuzisafisa kwa sababu watumia instinct. Ukitemea mate chakula binadamu atashindwa kula, au mkojo ukidondokea kwenye msosi hauliki coz ana akili and hence kinyaa.
Unaposema sehemu zao chafu za siri unamaanisha nini?