Ulimtoa wapi huyu mwanaume/ mwanamke?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Visa kila siku haviishi mpaka ndugu/ rafiki wanalazimika kukwambia ulimtoa wapi huyu mwanamke? au ulimtoa wapi huyu mwanaume? Lol..saa nyingine mmeachana lakini kwa visa alivyokufanyia unabaki kushangaa mwenyewe na kujiuliza ulimtoa wapi huyo mpenzi?

ushawahi kuona hio?.

Uzi tayariπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna demu wangu alinikubalie et kisa nilimwambia mama yangu mzazi amefariki, akawa anataka niwe namuita jina la mama yangu.

huyu nilimpata somewhere in hii dunia.
 
atakuwa muhehe huyu au mnyakyusa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nliwah kuwa nae wa sampuli hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna demu wangu alinikubalie et kisa nilimwambia mama yangu mzazi amefariki, akawa anataka niwe namuita jina la mama yangu.

huyu nilimpata somewhere in hii dunia.
 
Childhood friend tulikuwa wote and I miss her

Nowadays npo na pombe ila mabaharia alietengeneza pombe sifa ziende kwake aisee
 
Childhood friend tulikuwa wote and I miss her

Nowadays npo na pombe ila mabaharia alietengeneza pombe sifa ziende kwake aisee
In real life unaeza kuta ukinywa Malta mbili unalewa ila huku unajiiita mlevi na una act kilevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…