Ulimwengu wa Bernardo Mukassa katika nyimbo za Kikatoliki (RC) Tanzania

Naunga mkono hoja.... ukiangalia videos ndio utaona changes kubwa zaidi muda si mrefu wataaanza kuvaa tight na baadae vichupi kwenye vidz
 
Sure. Japo mabadiriko ya tabia nchi hayazuiliki nadhani ndio tatizo
 
Umemsahau F Mwarabu, Lukando, F Nyundo na wengine wengi.
 
Uyo baba sinaneno kabisa hicho no kipaji haaishii huko katoliki tu pia ni mwalimu anaye pokea mialiko kwaya zingine na anafundisha [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
nashukuru ndugu yangu nitasali huko siku moja. i really miss that...hiyo atmosphere huwa inanipeleka straight mbinguni. niko dar lakini naomba nijulishe mavurunza ni maeneo gani hasa.. nitashukuru kwa taarifa.
IPO kimara suka. Upande wa kushoto kama unatokea mbezi
 
Kwa sasa watunzi wa nyimbo za Katoliki ambao wamekuwa wakiniinjilisha vilivyo kupitia nyimbo zao; ni wengi!

Ila kwa uchache ni David Wasonga, Beatus Idama, Ben Nturama, F. E. Nyanza, Isaack Mwita, Ansbert Ngurumo (ingawa siku hizi hasikiki tena baada ya kukimbilia uhamishoni), Ernest Ogeda, Didas Kidesu (yuko Kanisa la mshindo huyu pale Iringa mjini), na wengineo wengi!

Hakika hawa pamoja na wenzao wengi kwa sasa ndiyo hazina ya Kanisa. Maana wanajitahidi kutunga nyimbo zinazifanana na za watunzi wa zamani kama John Mgandu, nk.
 
Aisee... Kumbe nilishakupa like toka wakati huo? Maana hata sikumbuki kumbe nilishasoma huu uzi. Ni kweli kuna nyimbo nyingi za kiliturujia zinapotea. Tena zile ambazo zikiimbwa kanisa zima linapokea
 
Kanisani kuwe na shule ya mziki tutapata asili yetu
 
Mnafahamu mtaguso ulioruhusu nyimbo za asili za UTAMADUNISHO!?? ...au MNAKAZA MAFUVU TU!??
 
Fr.ntapambata,Syote,makoye,babu mgandu ,babu Malema mwanampepo,babu Sangu, Fr gregory kayetta, Mzee mwarabu, Nyundo hawa miamba ,wengi wamepumzika kwa amani ila wanaishi

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Father Sangu na Mzee Mwarabu bado wapo hai.
 
Kuna hii kwaya ya mtakatifu joseph
Bakhita
Parokia ya chuo kikuu cha mzumbe (mbeya)

Walikuwa wanaimba vizuri sana sijui walipotelea wapi wale vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…