Even MOre
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 204
- 298
U hali ganI mpendwa msomaji, kwa uwezo wa Mungu naamini u bukheri wa siha.
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza basi ni wazi kuwa kwa sasa tunaishi katika Ulimwengu wa faida. Na utambue tu kwanzia sasa kuwa "KWAKO WEWE KUWA HAI LEO NI FAIDA KWA MWINGINE"
Binadamu kwa sasa shauku yake kubwa ni maendeleo binafsi pasipo kuangalia yataathiri vipi mustakabali wa maisha ya wanadamu wengine katika sayari hii, nikiwa na maana kuwa watu wanapata ujuzi wakusomea au kujifunza ili autumie kujinufaisha yeye binafsi au kikundi cha watu wachache. Na haya ni miongozi mwa mambo ambayo leo binadamu akiamka mzima wa afya (hajafa) ni faida kwa haya makundi:-
1. Wanasayansi wanaotengeneza au kujaribia viini na sampuri za magonjwa ya kutengenezwa kwa minajiri ya kuja kuuza chanjo zake na kujipatia fedha. Sasa virusi hivi havitengenezwi kwa ajili ya watu walio wafu hapana ni kwa ajili ya KUUA walio HAI ili wengine wanemeke kupitia maisha ya wafu hao.
2. Wanasayansi wanaotengeneza silaha za moto za maangamizi kwa ajili ya kuuza kwenye mataifa mbalimbali. Haya sera yao huwa ni kwa ajili ya ulinzi lakini ni shabaha isiyopingika kwamba watu hawa pasipo kutengeneza na kufadhili vikundi vya waasi au kigaidi silaha zao haziwezi kuuzia na the only objective ni KUUA ili wapate mali.
Then hapo ndo uhai wa hao watu walio katika maeneo hayo hugeuka kuwa lulu la watu.
Mfano: Iraq kulikuwa na uzalishaji wa mafuta zaidi Dunia kwa miongo kadhaa katika mji wa Kuwait lakini wenye mamlaka walishamaliza yao na haipo tena katika ramani ya Dunia lakini watu wametajirika kupitia uhai wa wanadamu wenzao.
3. Magenge ya uhalifu na ujambazi. Hawa watu wao wanachohitaji wewe uwe hai ili uhangaike kutafuta then ukifanikiwa wao wanachohitaji ni mali au vitu vyako vya thamani pasipo kuona thamani ya uhai wako tena, hapa jambo ni moja tu unatoa mali au vitu kwa hiari ama uuwawe.
3. Wanasayansi ya Jadi 😆 (Washirikina)
Kwenye kundi hili utajumuisha na wale wote wanaofanya maagano ya kichawi kwa kuua au kudhuru uhai wa wanadamu wenzao ili kupata mali au kuendelea mila wanazoabudu. Ili hiki kinachofanyika always lazima wanadamu walio hai wawe na faida kubwa zaidi kuliko wafu. It means that kwa mtu alijiungamanisha na mali za kichawi kafara zake kwa asilimia kubwa anahitaji watu walio hai wafe ili yeye aendelee kunufaika its same like kwa aliye mchawi anahitaji sana sana wanadamu walio hai kwa ajili ya practical 😁😁😁 ili kujaribia dhana zake na kuimalisha taaluma yake.
Hivyo faida ya mwanadamu aliye hai atatupiwa magonjwa, mikosi nk ili kupima ujuzi na pengine kujua dhana mpya vile vile mwanadamu huyu aliyehai atafanywa kuwa chanzo cha mapato (Chumaulete au TRA) kwa makundi yote mawili yaani matajiri wa kichawi na wachawi wenyewe.
So chagua
"Live as working dead OR try to escape in order to meet the real Death"
Unaweza kuongeza kundi jingine