Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Mkuu acha uwizi,kama unataka kusaidia wadau kwa ulimwengu wa FTA mwambie hali halisi
Freesat v7 HD bei haiwezi kuzidi 150000 hata uwe kijiji
V7 combo nayo haifiki 170000 hata kama upo kjjni

Wizi unakujaje kaka hapo mi sio duka nami nlinunua sasa siitumii kutoka na na mazingira sijatulia sehemu moja mteja akipatikana tuna negotiate sasa Mali yangu bado uniite mwizi dah samahan kaka kama nimekosea kuweka humu atakaetaka mtafutie
 
niliachana na biashara hiyo lakini hadi sasa ninayo stock kadhaa kama unavyoona pichani
 
Naomba msaada.

Receiver yangu DigSat 9800HD ukiwasha inaandika database empty
 
wakuu anaejua kutumia internet kwenye king'amuzi cha FTA Tiger T245+pro inayo sehemu ya kuingiza flash nimejaribu kuweka modem haizomi
 
Umeulizwa model ya modem yako mkuu..maana huenda shida ni model ya modem unayotumia na sio laini.

Jaribu Huawei E303 uone.
 
Unielekeze na mm jinsi ya kuangalia channel za zuku bila malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…