Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Nimeipata vizuri tu ila signal sio kubwa kama ilivyokuwa kwenye sat ya zamani.Pia mfumo haujabadilika hata wenye Mediacom wanaweza kuzipata.
Mkuu umepata na channel gani za ziada tofauti na ITV, Chan 5 na Capital tv?
 
Nimeipata vizuri tu ila signal sio kubwa kama ilivyokuwa kwenye sat ya zamani.Pia mfumo haujabadilika hata wenye Mediacom wanaweza kuzipata.
Mkuu naomba ni saidie Frequency ulizo tumia kuwindia hizi channel
 
Nimeipata vizuri tu ila signal sio kubwa kama ilivyokuwa kwenye sat ya zamani.Pia mfumo haujabadilika hata wenye Mediacom wanaweza kuzipata.
Natumia hiyo Receiver ya Mediacom naona ITV, EATV na CAPITAL wamebadilisha satellite na frequency zao, naomba maelekezo ya kuingiza hayo mabadiliko kwenye receiver.
 
Hivi cband na ku band tofauti yake nini? Mfumo upi ni bora kuliko mwingine wataalamu mtusaidie hili
 
Nataka kununua Receiver ya Alpha box
Je hizo nazo Nina UBORA?
 
Please naomba ushauri wako kuhusu hii fta decoder!
Shukran.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-11-29-09-37-10-1.png
    115.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_2019-11-29-09-37-03-1.png
    37.3 KB · Views: 10
Habari za wakati huu mafundi? Naomba kuuliza kama inawezekana kupata azerspace 1 (46e) pamoja na intelsat22 (72.1e) kwa wakati mmoja na kwa kutumia dish moja. asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…