Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Mambo yameongezeka, star sat SR 2200HD EXTREME sasa inafungua Sky sport ya nyuzi 57E na wenzie. Ninayo pia STAR SAT X2 EXTREME mpya,. nayo inafungua, CANAL, AFN, SKY SPORT, BT SPORT , OSN nk. Bei ni sh 270,000, bila pungufu.
 
Ndugu zangu naombeni msaada, ni aina ipi ya modem inakubali kutumika kwenye fta sattelite receiver kama freesat v7 hd, nimejaribu mara 3 zinakataa, nilitumia ya airtel na mbili za zinazotumia lain zote bado zikakataa ila kwwnye pc zinafanya kazi vizuri tu
 
cheki setting,mimi naconnect na hotspot ya simu na inakubali
 

Wadau Naomba kujuzwa iv hii ktk pi cha ndio satelite receiver ? Na jee ina wezekana kufungaa dishi la dstv lkn nikatumia receiver za satelite
 
Receiver nying znakubal modem za Huawei, hz modem nyingne znatumia drivers tofaut na Huawei ambayo n Plugin & Play.
Tafta Huawei model
E173
E303

Hakikisha ukinunua modem hyo ni ya hzo model tajwa(Japo kwetu apa hazpatkan/znapatkana kwa shida sana)
 
Ivi kama nina king'amuzi cha dish la startimes naweza pata channels za kenya (local ).. Wajuzi hapa tusaidiane
 
MEING'ATI bro mi nina dishi la nyavu la kitambo sana je name naweza tummy decoder gani kupata hayo machaneli mengi bila kutumia decoder za kulipia?
 
Nina continental decoder
Nahitaji kuona channel mwelekeo alipo Azam
Naweza kupata channel zipi
Tofauti na zile za Ethiopia?
 
Mambo yameongezeka, star sat SR 2200HD EXTREME sasa inafungua Sky sport ya nyuzi 57E na wenzie. Ninayo pia STAR SAT X2 EXTREME mpya,. nayo inafungua, CANAL, AFN, SKY SPORT, BT SPORT , OSN nk. Bei ni sh 270,000, bila pungufu.
Weka namba boss.... nicheki 0713722679
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…