kaka leta maujanja nimefunga dish ya futi 3 natumia receiver ya mpg4 Astrovox vsr 8900 napata hii parkage ya ting,yaani chanel zote za tz na kidogo za kigeni,yani jumlanina chanel 24 haapa za bure,tagadhali nisaidie kupata chanel za bure za movies kwani mi napenda muvies kiliko kila kitu..msaada wako mkuu.
hallow hizo fripuency ya 3893 na 3072 kwa chanel gan? na dish fut ngapi? receiver aina gan?
vip kuhusu star tv mkuu?Wamebadili symbolate ambayo ni 3072 na frequence ni 3893.
Jaman je sis wenye receiver za mpeg 2 tunawezaje kupata chanels hata 10 tu za sports?Hebu tusaidien jaman?
Ni za tbc dish kuanzia futi sita c band zinakopatikana channel za tanzania yani intel 906
Mimi naipata Tbc kwa dish la futi 6 lakini star tv siipati hapa Nampula Mozambique