Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Tungepeana na update za receiver zenye uwezo na upatikanaji wake, ili tuwe tunaingiza tulizonazo kwenye soko la mtumba na kuchukua za kisasa zaidi(uwezo zaidi) @fta forever.
 
astra inafika tz tazama beam yao hapa
 
Attachments

  • 1408023895867.jpg
    10 KB · Views: 147
  • 1408023916522.jpg
    30.2 KB · Views: 118
Mkuu umeeleza vizuri sana ila kuhusu receiver ya ontinental hiyo ni nzuri zaidi ya ile ya azam maana ina option mbili ya antena ya kawaida na unaweza kuweka satellite dish. Ina option ya Manual scan hadi blind search ambayo ktk Azam hamna, kitu ambacho bado sijajua kama kipo ni bias key editing kama itakuwepo hii decoder itakua ni noma saana.
 
Ambaye anauzoefu nayo angetupa maelezo zaidi.
 
Ambaye anauzoefu nayo angetupa maelezo zaidi.

πŸ™πŸ™ Nimechemka kuipata Astra2f@28Β°e na ndio nashuka juu ya bati kutoka muda ule .Ila natoa shukurani kwa Dkashombo bila kusau Chales mchango wenu ulikuwa:thumbup::thumbup:Ila nmeshindwa kupata Astra
 
Habari wadau! AZAM TV wameongeza channfl ya DTV TANZANIA jana,ila naomba kuuliza IRIB TV inaonesha ligi ya Uingereza yote?
 
πŸ™πŸ™ Nimechemka kuipata Astra2f@28Β°e na ndio nashuka juu ya bati kutoka muda ule .Ila natoa shukurani kwa Dkashombo bila kusau Chales mchango wenu ulikuwa:thumbup::thumbup:Ila nmeshindwa kupata Astra
Hii kitu shusha dish lako chini kabisa fanya settings zako zikisha kuwa poa basi lipandishe itakuwa rahisi kulokoni kulisetia juu.
 
Mi niliamua kushusha dish ilinilahisishe kuseti fanya hivo mi nmetumia muda wa dakika zisizozidi 5 kuipata labda kuifunga ndonimesumbuka kidogo signal ipo 85% usikate tamaa.
 
πŸ™πŸ™ Nimechemka kuipata Astra2f@28Β°e na ndio nashuka juu ya bati kutoka muda ule .Ila natoa shukurani kwa Dkashombo bila kusau Chales mchango wenu ulikuwa:thumbup::thumbup:Ila nmeshindwa kupata Astra

kaka astra yataka moyo.tulishazoea kuwinda satelite rahisi kama amos5 ses5 nk. sasa hapa ndio ipo kazi kama watu wa iringa njombe hata dar wanaipata it means tanzania nzima itapatikana ila utulie kikwelikweli na usiwe mtu wa kukata tamaa ktk uwindaji
 
Hivi tofauti na amos5 at 17, ni sat ipi ingine naweza pata fta(local) za hapa bongo kupitia dish dogo??
 
Hii kitu shusha dish lako chini kabisa fanya settings zako zikisha kuwa poa basi lipandishe itakuwa rahisi kulokoni kulisetia juu.

Unatumia dish la ukubwa gani kuipata astrac28e ?, nimeangalia channel line up lyngsat, naona kama zinanivutia , nipo Dar..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…