Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

hatimaye ting wameachia morningstar tv.wasabato wanaimba kweli asikwambie mtu.12418 v 30000 amos5🙂viva fta
 
Km upo dar yupo mtahalam ukimuhitaji nakupatia no yake

hello mdau.
nipo dar.nahitaji kupata satellite ya astra 28e kwa ajili ya joy sports na tv3.plsease naomba kupata hiyo namba ya simu ya mtaalam wa madish aliye dar ili nimchek.
 
hello mdau.
nipo dar.nahitaji kupata satellite ya astra 28e kwa ajili ya joy sports na tv3.plsease naomba kupata hiyo namba ya simu ya mtaalam wa madish aliye dar ili nimchek.

0715865358 na +255784865358 anaitwa Masanja
 
kaka TONGONI naomba unipm namba yko ya simu
 
hatimaye ting wameachia morningstar tv.wasabato wanaimba kweli asikwambie mtu.12418 v 30000 amos5🙂viva fta

tatizo lao ni kuwa, mara nyingi inakatakata yaani screen inakuwa black tu ila pale chini ki nembo chao kinakuwa kipo
 
Natumia Azam,Naweza nikafunga LNB nyingine niweze kupata ATN na CAPITOL TV?
 
Bro binafsi nashukuru somo zuri sana,binafsi nipo Lebanon ,hatuzipati,chanel 10 star tv, nimepata Itv,capital na east African tv,naomba msaada bro,dish ni ya futi sita
 
Fashion box
Docubox
Fast fun box
Film box
Fight box 12382 v 30000. chanel zenye movie kali sasa wameziachia tena ndani ya amos5. blindscan and enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…