Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


frequency hii ya tv madagaska ni subsaharan africa beam ukitembelea HAPA mimi niko songea na reciver yangu ni mpeg4 dvb-s1/2 labda size ya dish cm 60 kama inadhuru.
 
haya kwa wale waliofunga KU na wanshindwa kuzipata radio zilizopo bonyeza batani hii kwenye rimoti yako TV/R utapata radio zote hakikisha chneli uliyoweka ipo upande wa ku mfano kbc.
 
Mavella, uko sahihi ,nilikuwa naangalia flysat ambako tvm haionekana. kupata channels unahitaji ungo wenye ukubwa 40dBW=120CM hii ni kwa mujibu wa [flysat.com], lakini we jaribu tu na ungo wa 3ft unaweza ukashika kwani 120cm ni estimation tu. Good luck
 
Naona ting wamerudi hewani ila channel 10 wamescramble itv na star hazipo.
 
haya kwa wale waliofunga KU na wanshindwa kuzipata radio zilizopo bonyeza batani hii kwenye rimoti yako TV/R utapata radio zote hakikisha chneli uliyoweka ipo upande wa ku mfano kbc.

Kama stations 20 hv znafunguka...kîss fm,metro fm,jambo etc..
 
ATN iko wazi kwa sasa kwa kupitia king'amuzi chao AAL-003,faidi kabla hawajaifunga
 
kwanini baadhi za channels ikifika muda flani huwa ina scratch scrath au hayoneshi kabsia.
 
ATN iko wazi kwa sasa kwa kupitia king'amuzi chao AAL-003,faidi kabla hawajaifunga

Mkuu salute!
Ninatanguliza hukurani kwa elimu unayoileta hapa.
Ninaomba utuelimishe jinsi ya kutumia hiki king'amuzi ili "kung'amua channels nyingine" kama ulivyowahi kudokezea.
 
Mkuu salute!
Ninatanguliza hukurani kwa elimu unayoileta hapa.
Ninaomba utuelimishe jinsi ya kutumia hiki king'amuzi ili "kung'amua channels nyingine" kama ulivyowahi kudokezea.

nimekupata mkuu.nitafanya kama unavyotaka
 

mkuu kama nimekuelewa vizuri unamaana uwe na dish tatu! .. Duh! ...
 


mkuu yangu ni hii hapa... sun ray 4 HD 800 se ni Dream box 800se clone everything dream box 800se does this machine do better plus access ya wifi .... nipo nje ya bongo nakusanya hivi vifaa nikirudi tanzania likizo nikamfungie bimkubwa ungo home pale (DAR) wazee angalau wapate kuburudika sitaki kusikia stations za kulipia sasa hii thread yako muhimu sana ila kama stations za kibongo ni C band only mpaka sasa naona kuna umuhimu wa wa dish mbili sababu channels toka bara arab kule muhimu kidogo kwa bimkubwa na zinapatikana nyingi kwa KU band mzEe naye agalau za sports kama epl mzee ni mnazi wa Newcastle united sasa EPL kwake pia itakuwa safi akiona match hata mbili tatu FTA ... nadhani umeelewa tatizo langu! channel za bongo zinatakiwa na za watu mbelembele zinatakiwa ... Na pia dish size gani unaushuri..?
vipi kuhusu bei za madish huko bongo ni bei sana..??! kama ni cheap ntabeba receiver tu


kwa nyuma





kwa mbele





 

nimepata chaneli 2 za bay TV na 1kzn TV kutoka south afrika ambazo ziko amos 5 at 17e ktk mwelekeo huohuo wa eutelsat 16A at 16e bila kusogeza dish
 
Hongera Mavella kwa kazi nzuri unazoendelea kuzifanya humu ndani. Ni dhahili kuwa ungo wako upo kwenye sats Amos/ Eutelsat 16a na pengine hupati frequences zingine ni kwa 7bu ya size ya dish.
 
Hongera Mavella kwa kazi nzuri unazoendelea kuzifanya humu ndani. Ni dhahili kuwa ungo wako upo kwenye sats Amos/ Eutelsat 16a na pengine hupati frequences zingine ni kwa 7bu ya size ya dish.

Natumia dish dogo(ku band) Intelsat7/10(68E) hapa napata KBC,K24,family tu...Bwana arselona naomba unisaidie kupata chnls nyngnezo hasa KISS TV hawa wanaonesha mpira EPL na UEAFA!..Natumia media com receiver!..nsaidie hata frequencies zake itakuwa mzuka zaidi!...
 
Leo niendelee na kifaa kingine kiitwacho satallite dish(ungo). Kabla sijaendelea na somo la leo naomba niwarudishe nyumba kidogo kwenye somo lilopita lililohusu receicers/decoders kwamba kuna baadhi ya ricva/decoders zina uwezo wa kutumika kama dvb-s, dvb-c na dvb-t. Mfano wa decoders hizo ni strong srt 4902 na sun ray 4 HD 800se ambacho Viper anacho.

kuna aina kuu mbili za nyungo nazo ni; prime focus dishes(maarufu kama c-band dishes) na offset/parabolic dishes(maarufu kama ku-band dishes).Kwa aina ya kwanza kuna ambazo ni za bati na za wavu zenye ukubwa unaoanzia 6ft na kuendelea.Ni madishi ambayo ni ya duara.Madishi hayo ndiyo mengi sana majumbani mwetu. Kati ya bati na ya wavu, ningependa watu waelewe kuwa yabati ni bora zaidi kwani yana uwezo wa kukamata frikwensi dhaifu kuliko za wavu.Aidha zinaweza kutumika kukamata frikwensi za ku.
Aina ya pili ni madishi, ni yale yenye umbo la yai Ambayo dstv, zuku na Ting wanayatumia.Madishi hayo yana ukubwa kati ya 2ft -6ft.Kama ilivyo kwa madishi ya aina ya kwanza watu wengi tunafikiri kwamba aina hayo ya madishi yanatumika tu kwa kupokea mawimbi ya ku pekee,si kweli bali yanaweza pia kupokea mawimbi ya c-band pia kutegemea na ukubwa wake. haya ni madishi ya ku.
Kuna aina kuu mbili za LNBs(Low Noise Blockers), nazo ni Ku/universal LNBs na C-band/standard LNBs.Tazama picha hii ya ku-lnbs
na nyingine ya c-band lnbs mwisho ya makala hii.
Ingawa kuna aina kuu mbili tu ya lnbs lakini kuna aina ya tatu ya lnb nayo ni muunganiko wa aina kuu hizo mbili nayo ni Ku/C- band lnbs kama inavyoonekana katika picha hii
Aidha kuna kifaa kingine kinachopatikana ndani ya C-band lnbs kinaitwa Dielectric fiber( kitu kama kisabuni vile). ukiangalia picha zifuatazo utaweza kufahamu vizuri Nilisema inawezekana kutumia offset dish kupata mawimbi ya c-band. Tizama picha ifuatayo nitarudi tena kuendelea na somo hili hili kesho Mungu akipenda.
 

Attachments

  • c-band lnbs.jpeg
    7.6 KB · Views: 314

Mkuu tunakusoma vizuri ... Tunasubiri urudi uendelee na hili darasa... Nishaelewa c band na hicho kisabuni... Nasubiri darasa la ku band
 
Bila shaka somo ililopita limeeleweka vizuri kwani mpaka sasa hakuna maswali. Mwenzenu leo nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kwa namna gani nitanunua receiver nzuri kwa mahitaji yangu. Nimeona kuna aina moja ya receiver ambayo kwa mtazamo wangu ni box nzuri sana si tu kwa unafuu wa gharama ya ununuzi bali pia kwa uwezo wake.

Hii Skybox F3 ambayo ni dvb-s2 HD decoder,ina modulation ya qpsk,8psk na 16psk(Ting AAL-003 ina pia qpsk na 16spk na 8spk) Ina usb port moja, Rj45 port, 0ne smartcard reader port inasapoti irdeto2, sharp tuner, inasapoti pia wifi. Pia inamfanya mtumiaji kuweka codes kufungua en*****ed tv channel. Decoder hiyo inauzwa china kwa gharama ya usd87 pamoja na gharama za usafiri kwa HDL.
Sasa nikilinganisha na strong srt 4669 ambayo inauzwa kati ya tsh 180000-200000, bado ni cha mtoto.Srt 4669 ina modulations za qspk na 8spk tu, sio Hd,ina weak tuner na haina wifi.
Aidha naendelea kutafiti kuona kama ninaweza kuinstall firmware ya decoder nyingine ya kichina kwenye decoder ya ting(aal-003).Ili kuweza kufanya hivyo nitalazimika kwanza kufanya backup ya ting.

.
 
Mavella " nimepata chaneli 2 za bay TV na 1kzn TV kutoka south afrika ambazo ziko amos 5 at 17e ktk mwelekeo huohuo wa eutelsat 16A at 16e bila kusogeza dish "

Bro Mavella naomba ujaribu kuzungusha LNB @ 3:00pm ( namaanisha pale kwenye fitting ya cable panakuwa at 3:00pm ukiwa mbele ya dish lako )
 
"Natumia dish dogo(ku band) Intelsat7/10(68E) hapa napata KBC,K24,family tu...Bwana arselona naomba unisaidie kupata chnls nyngnezo hasa KISS TV hawa wanaonesha mpira EPL na UEAFA!..Natumia media com receiver!..nsaidie hata frequencies zake itakuwa mzuka zaidi"..Mchakatoh

Kaka mchakatoh sijaweza kuona sat yoyote inayorusha kiss tv fta, kwa vile haja yako ni ucl na epl una njia mbili mbadala, ya kwanza ni kuuelekeza ungo wako mwelekeo wa dstv itakuwezesha kupata ORTB tv ya benin ambayo pia inaonyesha mpira(rdv na drtv kwa sasa hazipatikani tena hapo)
Njia ya pili ni kununua dvb-s2 decoder na offset dish la >3ft ili kukufanya unase sats eutelsat/amos ambapo utapata channels nyingi za sports zikiwemo rdv, drtv,rst1 ortb setanta africa na crtv
 
Nina srt 4996 naweza pata chanel gani ? . Kwa dish ya ft 6 c band au ku cm 90. Nina dongle avatar 2. Je unayo software mpya mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…