Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Jarbu kuweka frq zake kwa manual haf uone. Ila huwa zinasumbua kias fulan
 
Kwel ila wapo hewan mi nazipata zote jarbu kuliset dish ila zpo tu hewan
 
Mimi nimefanikiwa kuipata Amos 5 na Eutelsat 7e.Sasa kazi ni kuipata Astra 2f.Nimeangaika vya kutosha.Niko mbeya na ninatumia dish futi 6 pamoja na Ku ya kawaid.Ebu wakuu nipe mbinu
 
msaada wa kupata channel za kenya ktk sat ya 57.0e ku nss 12 naomba na tp za kutafutia
 
msaada wa kupata channel za kenya ktk sat ya 57.0e ku nss 12 naomba na tp za kutafutia

Za Kenya hazipo 57.0 tumia freq hii 11058 V 29995. Kama ulisha ipata intele 7/10@ 68.5°e kwa freq 12722 H 26655 Emmanuel tv nyuma ya chanel za Tanzania.
 
Za Kenya hazipo 57.0 tumia freq hii 11058 V 29995. Kama ulisha ipata intele 7/10@ 68.5°e kwa freq 12722 H 26655 Emmanuel tv nyuma ya chanel za Tanzania.

Emmanuel tv naipata full na za hapo full nimeweka hzo freq lkn haifunguki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…